LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,642
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mim ila umekuwa adimuNi mimi.. kumbe na wewe ni wewe?
Naona unazidi kuwa mzuri
Nilijua mnafuatlia kimya kimya mwenzenu anavyojigamba...mnatuonaga maboya sana ke (sio wewe emmyta)Hahaaa. Dada ake kama kila page mtu anabadili maneno unadhani tutamwitaje. Na ni wachache dada wenye kulijua hilo walio wengi wanaona sawa.
Upo dada nakusalimia?
Ninawivu sema haujui tu...Aah wapi sema kila ukiniona macho yako yanaanza kumsearch Kaboom hata kama anajipitia utasema niko nae
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nafuatilia mafao hapa nishajikoki na s8 yangu na bando la karneNi mim ila umekuwa adimu
Ahsante sasa dada ake nafurahi kukuona mana nkitambo kidogo. Na mie sijambo kabisa dada wape salamu wanangu waambie Oddo wao anawasilimia.
Hahahah uko vizur[emoji1][emoji1]kumbeNilikuwa nafuatilia mafao hapa nishajikoki na s8 yangu na bando la karne
Wewe mtoto haujambo!Mzima dada akee za wewe yaan tumeshamaliza kila kitu ndio tupo jf
Uzee una neema bwanaHahahah uko vizur[emoji1][emoji1]kumbe
Sijambo shikamoo jamanWewe mtoto haujambo!
Acha hizo nimsalimie nani tena wakati mi leo nalala hapa kwakoNinawivu sema haujui tu...
Msalimie bwana huyo ni brother sitirok mabano
Mahaba(Manga voice) za hapaSijambo shikamoo jaman
Kabisa yaan hongeraUzee una neema bwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] za apa ni poa tu sijui za hukoMahaba(Manga voice) za hapa
Ishaalah, [emoji8][emoji8]
Mstari mweusi huo alama ya kuzaa alafu kubwa tu sana.hilo tumbo unalionaje ww...lishazalishwa??
Asante... msalimie naniiKabisa yaan hongera
Huku kwema mamdogo ananibana tu nahemea juujuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] za apa ni poa tu sijui za huko
Ndio vizuri bamdogo ili uwe njia kuu tuHuku kwema mamdogo ananibana tu nahemea juujuu