IshaAllah karibu sanaUsijali dada ake alikuwa anafuata nlianza kwanza wanangu. Ila naye mpe salamu zangu shemeji yangu mpendwa. Panapo majaaliwa siku moja ntakuja kuwasabahi.
Ohhooo.....[emoji12] [emoji12]Naona unataka upapasa kaa la moto
Ohhooo.....[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Pitia vizuri, nilimpiga madongo kuwa ana maringo na nyodo hadi akaomba msamahaMkuu mbona alivyokuwa live ulikuwa unasifia kila kitu?
Kasepa unaanza kuponda mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah kwa swaga nyoko....nimemkubali mtoto wa S.A [emoji23] [emoji23]But l love her swagger!
DJ sepetu
Umewaza kama mimi...haaaa haaaLabda wameona husna level za twiga
In short wamegwaya!
DJ sepetu
Hujui ulisemalo au aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Wasomi ni wengi kuliko nafasi za kazi. Pili ni vigumu vijana wote kuajiriwa, wengine tulianza kujiajiri na sasa tuna ajiri, rejea swali ujibu upya, interview ni heshima itendee haki
sawa mkuu nisamehe, nimeteleza.
Mtu akiwa na majivuno anakosa mvuto.
Ulipoanza, ulianza vizuri kuwa uko humble lkn ktkt ya safari umechafua hali ya hewa
Sipati picha mazingira ya kazi waliyonayo walio chini yako kwa nyodo hizi
Huu ni uungwana kukiri kosa, heshimu interview toa majibu ya kujenga
Mkuu mbona alivyokuwa live ulikuwa unasifia kila kitu?
Kasepa unaanza kuponda mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekusoma mkuu..Pitia vizuri, nilimpiga madongo kuwa ana maringo na nyodo hadi akaomba msamaha
Hata vikongwe tupo..teh
Lazima ukubali saa kesho mbona watamkimbiaAah kwa swaga nyoko....nimemkubali mtoto wa S.A [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho watakimbia tena warudi baada ya yy kutoka[emoji23] [emoji23] [emoji23]Lazima ukubali saa kesho mbona watamkimbia
DJ sepetu
Mkuu nimeona...Witnesj pitia[emoji116] [emoji116] huku ni kumsifia?
Wit hiyo avatar jmnMkuu nimeona...
Tulikuwa bega kwa bega wakati mrembo anahojiwa kuanzia mwanzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee...[emoji54]Mambo mazuri sana comrade, hapa nasubiria tu majibu kama atasema hajaolewe tu.... ninae PM....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mkuu....
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Muosha rungu naona upo JF kwa ajili ya kuhoji watu tu, haya lakini tuendelee