HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Witnesj pitia[emoji116] [emoji116] huku ni kumsifia?
Hujui ulisemalo au aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Wasomi ni wengi kuliko nafasi za kazi. Pili ni vigumu vijana wote kuajiriwa, wengine tulianza kujiajiri na sasa tuna ajiri, rejea swali ujibu upya, interview ni heshima itendee haki

sawa mkuu nisamehe, nimeteleza.

Mtu akiwa na majivuno anakosa mvuto.

Ulipoanza, ulianza vizuri kuwa uko humble lkn ktkt ya safari umechafua hali ya hewa

Sipati picha mazingira ya kazi waliyonayo walio chini yako kwa nyodo hizi

Huu ni uungwana kukiri kosa, heshimu interview toa majibu ya kujenga

Mkuu mbona alivyokuwa live ulikuwa unasifia kila kitu?

Kasepa unaanza kuponda mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom