HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Siku hizi madem wa hivyo ni wateja wa waganga wa kienyeji na manabii fake, coz hawaoleki tena kwani walipotakiwa walijiona matawi, wamebaki kuhitaji maombi
 
Lemutuz anatafuta vibarua wa kufanya kazi kwenye online TV yake unaonaje ukaombe kibarua Huko.
Huko utahoji watu vyovyote utakavyo.Humu kila siku utakuwa unakoga matusi bila sabuni.hivi ninavoandika yuko mtu nyuma ya kibodi chake anapika kombora Special 4 u
 
Kuwa makini sometimes utakuwa unamfanyia interview dume mwenzako wewe unafikiri Totoz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…