HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Kwenye huu uzi kasema ni kiongozi wa kampuni ya mzee wake, kwenye uzi wa utambulisho kasema yeye ni head mistress.
Alisema "Shirika" hivyo inawezekana shirika ndo linamiliki Shule..

Ila aache kujikweza, mwalimu sio mtu wa kujikweza, mwalimu ni mlezi, mlezi hawi na nyodo kama za huyu dada kwakweli, japo kuna wakati naona kama anafake hizi nyodo lakini haipendezi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo dada ni no rinda alitatuliwa na mwanafunzi wake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom