HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Nakushukuru sana mtoto Wa kitajiri usiye jua kunguni wala dagaa msumari kwa kuonyesha ushirikiano
Natumai members tutakungoja kwa hamasa hiyo 10AM nadhan saa NNE ushmen eti
At the same time tunaendelea atatukuta

DJ sepetu
Ebu uandike huo muda kwa maneno, maana hapa naona sijaelewa na saa yangu ni mbovu
 
Ndogo hivyo?
Lakini sioni kama anathamani hiyo hata 50,000 sitoi hajatulia na ananyodo.
Ukiwa na mke wa namna hii utaishi kama kisiwa
Nilidhani nimeona pekeyangu...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama muojiwaji anachojibu ndo uhalisia basi ndo wale wanaodemadema huku wakipigwa na wanaume ambao wao huwaona ni classic type zao alafu baadae anajikuta yuko age ya 30+ ndo anagutuka. Wanaume halisi hawamtaki tena na wale fake wanamtaka kwa papuch tu. Then pambio za tenda muujiza zinaaza kutamalaki

''Aut Vincere Aut Mori''
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom