Erick_Otieno
JF-Expert Member
- Mar 28, 2010
- 624
- 1,023
hukunishawishi, sema tenaNimesha sema kule chemba...[emoji39] [emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hukunishawishi, sema tenaNimesha sema kule chemba...[emoji39] [emoji39]
hizo kanuni mfundishe ambae hukumpeleka shuleUsije badili dini bila radhi ya wazazi wote wawili
Huyu ni mtu mzimaUsije badili dini bila radhi ya wazazi wote wawili
hayaAsante
kuna walinzi kutoka rwanda, jiangalieNgoja tukavamie inbox ya Husna_TheBossLady sasa.
Sawa, alafu.... pm yangu umeiona?
Nimesha sema kule chemba...[emoji39] [emoji39]
Mbona unaongea uongoHao wameona fursa, na wamekimbilia mp ili wakunase kiurahisi ilhali wameficha makucha yao.
Wanaume tunao jielewa tupo hapa mubashara....[emoji13] [emoji13]
Wengi walinikataa kwaajili ya hii avatar...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mkuu huyu dada anaogopa pengo hilo anafikiri ndivyo ulivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata wangekuwa kutoka Mars, ndio nishakuja hivyo. Usiichunie tu!kuna walinzi kutoka rwanda, jiangalie
SawaFanya makeke umuweke ndani.
karibuHata wangekuwa kutoka Mars, ndio nishakuja hivyo. Usiichunie tu!
Sasa anakuboa kwa lipi..Mbona Sista wangu hana makuuhapana...muda wa mabwana naupata wapi?
wambie waniache saivi maana hii jam ya hapa mi mwenyewe nshachoka, gari inapiga makelele nahisi ina shidaWadau endeleni kumhoji mgeni mm bado am driving l will join later
Much love to husna bebez
DJ sepetu
Tupambane tu comrade, tunaweza okota embe chini ya mlimao...[emoji12] [emoji12] [emoji12]Umeona ee, tunapambana hapahapa
Okunashangaa nn...hujawahi kuishika 5m?
anzia mwanzoHuyu interviewee mbona simsomi
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app