ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
Hahah mekuham[emoji7][emoji7]Umepoteaa, kama jero la noti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah mekuham[emoji7][emoji7]Umepoteaa, kama jero la noti.
Headmistress hawezi kuwa administrator? Au issue ni Shirika?Hahahahaha nimecheka sana tena sana...hii interview ina vituko sana
Nimesoma comments za uzi huu zote hadi hapa........
Lakini wanasema kuwa kwenye kila jambo lazima kuwa na chakujifunza,...
Namimi kwenye hii interview nimejifunza kuwa ni Muhimu kutunza kumbu kumbu kwenye kila jambo unalo ongea au kuliandika.
ADMINISTATO KWENYE SHIRIKA?
HEAD MISTRESS..?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]Mkuu....
Kumbe nawewe una gari..[emoji15] [emoji15]
Yaani humu nimebakia mimi tu aiseee...[emoji20] [emoji20]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Morano/ Murano
Naona umeamua uwamalize kabisa kwa picha mdogo wanguthe boss lady
Nipo my love.Hahah mekuham[emoji7][emoji7]
[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]Kwenye huu uzi kasema ni kiongozi wa kampuni ya mzee wake, kwenye uzi wa utambulisho kasema yeye ni head mistress.
Wahivi huwa tunawamega kisha tunasepa, alafu wanakuja kutuanzishia threads humu....[emoji12] [emoji12]Unakimbia nini tuongee ukweli hapa, kajiangusha sana anamajigambo mno, anafikiri vijisenti ndio thamani yake, wanake bora wamo humu na wanamchora tu.
Umenisusa hadi nimechukia ujue, unanipitaga kama hunifahamu vile why!Mis u[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Wahivi huwa tunawamega kisha tunasepa, alafu wanakuja kutuanzishia threads humu....[emoji12] [emoji12]
Ni aibu kumega wahivi mkuu, siku mmetofautiana dunia yote itajua, siandagi hivyo hata kidogoWahivi huwa tunawamega kisha tunasepa, alafu wanakuja kutuanzishia threads humu....[emoji12] [emoji12]
Me toooMis u[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Hahaha dada upo[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Haya tu wewe....Ndo kitu gani hiyo mpenzi
Ndio tunapambanaPambaneni Na hali zenu!
DJ sepetu
Upo eti, miss you so muchMuosha rungu, endelea kuwa interview watu but uwe mstahimivu na endelea kuiboresha ili isionekane ni sehemu ya uhuni flani
Atawamaliza wa chatto mkuu, mwanaume mwenye akili hawezi kumshobokea
Nipo Dadake. Ila umeadimika sana weye kulikoni ndugu yangu mzima weye?Hahaha dada upo