Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Nipo Dadake. Ila umeadimika sana weye kulikoni ndugu yangu mzima weye?Hahaha dada upo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Dadake. Ila umeadimika sana weye kulikoni ndugu yangu mzima weye?Hahaha dada upo
Hahaha wenye nyodo hivi humu wapo? Tukubali tu watu akilini tunatofautianaLile umepeleka wapi?
Unaionaje intaviu ya mwenye nyodo!
Nipo rafiki nimejaa tele, nazisoma akili za lady sijui boss.
Utakua na jina mahaba wallah! " utavunja bank" hahaha yaweza kua ukavunja hata Power bank kaka yanguHapa umenitia ashkiiiiii!
DJ sepetu
Na mimi apa ushimen ambao hatuna magari ujueMkuu....
Kumbe nawewe una gari..[emoji15] [emoji15]
Yaani humu nimebakia mimi tu aiseee...[emoji20] [emoji20]
Ha haaa wewe ni jipu..
Kwangu ni Alhamdullilah,hatujambo sijui kwenu hukoNipo rafiki nimejaa tele, nazisoma akili za lady sijui boss.
Mzima wewe!
Wa namna hii hata iwe jeHahaha wenye nyodo hivi humu wapo? Tukubali tu watu akilini tunatofautiana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mefurahi kukuonaNipo my love.
Kwangu kwema dada
Daaah nisamehe nilizidiwa mpenzUmenisusa hadi nimechukia ujue, unanipitaga kama hunifahamu vile why!
Mchokozi wewe..Kwa sura hii kuolewa utasubir kdgo
[emoji6][emoji6]
Umeokoa jahazi comrade....[emoji85] [emoji85]Ni aibu kumega wahivi mkuu, siku mmetofautiana dunia yote itajua, siandagi hivyo hata kidogo
[emoji6][emoji6]..
Shunie acheni fujo jaman [emoji23] [emoji23] Mie somo yangu nna kijenereta kinasumbua hatari na fine siku hizi kuanzia Laki 2,bora tubaki hivi hiviNa mimi apa ushimen ambao hatuna magari ujue
Nipo mpenz majanga tu ila sas nip bukher wa afya AlihamdullilahNipo Dadake. Ila umeadimika sana weye kulikoni ndugu yangu mzima weye?
Daby umemsikia Boss Lady ...... Hahaha kwa mbwe mbwe hizi nahisi kukukosa shemeji yangu Fanya unitafutie Stunter[emoji6][emoji6]