HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Duh!majibu na mbwembwe za huyu interviewee ni hatari
Kama hizi mbwembwe zinamatch na uhalisia wa real life yake basi walio around na yeye kazi wanayo asee

[HASHTAG]#nohardfeelings[/HASHTAG]
Hata Ridhiwani Kikwete anafunga tela hapa
 
Hahaha sasa kitu kama we hujui unadhani mi ntakijulia wapi wakati unajua wewe ndo mwaume wangu wa kwanza na toka umenipa talaka sijapata mwingine ningeyajulia wapi hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh...haka kamwanamke ni kaongo shetani akasome tuition...Nwei inabidi tuijaribu hii kitu aisee...Haiwezekani tuwe washamba hivi
 
Mwalimu anashida gani au hujasoma mkuu?
Nani anakupa kiburi cha kuingia jf ndg yangu?
Waalimu ni watu muhimu duniani japo Tz mnawadharau.
Badili mtazamo mkuu wangu..kwa upole nimekusihi
Kwani wee umenielewaje niliposema kumbe ni mwalimu?
Mwalimu ni mlezi, hawezi kufanya ujinga kama wa huyo dada, mwanzo nilimchukulia kama mtu asiyestaarabika, ndo nikashangaa kumbe ni mwalimu halafu anamikogo ya kijinga kiasi hicho, nadhani na wewe pia unahaja ya kubadilika...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri umenisoma nilichomaanisha.
Lkn huyu siye mwalimu ni msimamizi tu, mwalimu aliyefundwa kwanza hawezi kuongea vile, wala kurusha picha zile mtandaoni. Nafikiri mimi nawe hatuna haja kulumbana kwani naona kumbe mitazamo yetu haitofautiani japo awali sikukuelewa mkuu, nilifikiri unawabeza waalimu wote
 
Karibu tena our bosslady husnaaaaa!

DJ sepetu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…