mkuu QUIGLEY namtaka mdogo wake nimeona ni mtaalam wa kupiga pichaMkuu nikifanikiwa sitasema, tabia za kiafrika zinakuta unyamaze unapokula
Sammoo pambana na hali yako, niachie
Husna_TheBossLady
Pua na mdomo na nilipo, nakuja kukusalimia.masaki beeiibi
Haaaa haaaa...mkuu nitake radhi haki tenaNawe mdaku sana aisee[emoji23]
Hahahahahahahahapersonal account = 5b networth...school acc = 1t net worth (majengo magari n.k.)
Hapo umetumia pidgin au Creole?wanajz zaii ya 300 kucomment kufuatilia interview hii
Mmmh....kwa jinsi navyoisoma namba now fresh from kolomije!wasukuma. aki wale wababa wanajua kupenda na wanajua kut*mba.
Aaaaah ....huyu sio yy banaHeadmistress huu sasa uchokozi u know!
Is this yo pic also?hapa ni dirishani kwangu home, aliyenipiga picha ni mdogo wangu nasra
Bwahaaaaahaaah....umeanza mkuu mi sitaki kupasukia mbavu zangu hapa!Kumbe hilo ni hitaji lako si useme wazi!
Aseee jamani nyie[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tulia mkuu tujue kila kitu na tujue shule na acc yake ina sh ngapi...huyu dada mkweli[emoji23]
Nawe kwani ukiitikia tu kwamba ni kweli utakatika naniliu hadi uniaibishe mbele ya watu?Teh teh...haka kamwanamke ni kaongo shetani akasome tuition...Nwei inabidi tuijaribu hii kitu aisee...Haiwezekani tuwe washamba hivi
Bosslady naomba utupie pics tena mamii
Mkuu unajua Husna the bosslady kakulia SA ( si unajua kule uwazi mwingi)... So ameadopt tabia hizo hizo, yaani haina kuremba..Mwanangu sikufichi huyu dada anakera anaongea vitu vya kipuuzi hadi aibu
Mwanazuoni gani hiyo allah ni neno la kiarabu tafsiri yake kiswahili ni mungu .....me muislamu na naujua uislamu vizuri usinipotosheWewe ndio unapotosha, hata wanazuoni wa kiislam hawakubali God litumike badala ya Allah.
Hilo ni jina la Mungu wanayemwabudu waislamu, Japokuwa Allah lilitumiwa na Wakristo+wayahudi kabla ya uislamu.
Steve Jobs - Giant Of Technology.
Duuuh safi sana...hii personal acc yenye 5b ni tsh or?personal account = 5b networth...school acc = 1t net worth (majengo magari n.k.)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nawapunguzia watu stress za maisha, mkicheka mnasahau taabu zenuBwahaaaaahaaah....umeanza mkuu mi sitaki kupasukia mbavu zangu hapa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh..mbona hata ww baskia umekulia huko alfu huna tabia izoMkuu unajua Husna the bosslady kakulia SA ( si unajua kule uwazi mwingi)... So ameadopt tabia hizo hizo, yaani haina kuremba..
Sent using Jamii Forums mobile app