rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,032
- 18,540
Kumbe kuna mambo kama haya jf? Nijuavyo mimi kutongoza ni siri hata kama mtakuwa na relationship inabakia kuwa yenu wawili, ukitangaza unampa faida nani?
Yalikua zamani. sasahivi ukisogea tu pm umejiroga