Kumbe kuna mambo kama haya jf? Nijuavyo mimi kutongoza ni siri hata kama mtakuwa na relationship inabakia kuwa yenu wawili, ukitangaza unampa faida nani?
C'moon... hiyo noah kazuga..I bet bosslady anatembelea MercedesPambaf unaniangusha, ya makinikia ni za walalahoi alaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi mama yameisha..Nakuachia homework hiyo..Kajifunze hiyo style uje unifanyieNawe kwani ukiitikia tu kwamba ni kweli utakatika naniliu hadi uniaibishe mbele ya watu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unanitisha??Yalikua zamani. sasahivi ukisogea tu pm umejiroga
Mkuu tulia..teh teh teh witnessj na wewe ni ukoo wa panya eeh mana sio kwa kuzunguka huku[emoji13] [emoji23]
Kweli asee...[emoji23] [emoji23] [emoji23] nawapunguzia watu stress za maisha, mkicheka mnasahau taabu zenu
Mbona unanitisha??
tsh
Mkuu ukichanganya na kitu cha arachuga lazima Gari liwake ( nadhan umenisoma!Duh..mbona hata ww baskia umekulia huko alfu huna tabia izo
Hi baby Indian! Hebu tuelezee uchiz wetu[emoji23]
DJ sepetu
Asee hongera sana mwanamke mwenzangu [emoji122] [emoji122] [emoji122] ...( dooh hadi wivuu[emoji24] [emoji24]
Utanipa shngapiBasi mama yameisha..Nakuachia homework hiyo..Kajifunze hiyo style uje unifanyie
Nikija kwako utanianika jamvini??Jifiche kifuani kwa mkeo utapona
Ntakupa Ticket ya kuingia peponi
HahaAsee hongera sana mwanamke mwenzangu [emoji122] [emoji122] [emoji122] ...( dooh hadi wivuu[emoji24] [emoji24]
Cc. QUIGLEY
Sent using Jamii Forums mobile app
afu headmistress yeye anatiririka tuuu hana habariAnang,ata na kupuliza