Erick_Otieno
JF-Expert Member
- Mar 28, 2010
- 624
- 1,023
mie sina kampuni...nimeajiriwa na baba yanguBosslady naomba ajira kwenye kampuni yako![emoji39]
una maanisha aione mkwaruaji?[emoji23][emoji23]aione Ushimen
msomi. full stop. in fact ni RedDevilUnatamani mumeo awaje
DJ sepetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mambo mazuri sana comrade, hapa nasubiria tu majibu kama atasema hajaolewe tu.... ninae PM....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
uko vizurmwenye nafasi ya kudhani hivyo ni husband material...mm siwezi kujiamulia...mm nasubiri kuongozwa, hata km nina sifa za wife material lkn mwisho wa cku mwny maamuzi n mwanaume
kifupi, siwezi ishi bila mwanume, naweza tu kukaa bila mwanaume.Mwanaume ana nafasi gani
Ktk maisha yako
Unaweza ishi bila yeye
DJ sepetu
thanks
yap. bila makeup...nikiweka makeup utavunja bank bila kuuliza swali la kijinga kama hilo.Hii ni wewe!
DJ sepetu
Kwa sura hii kuolewa utasubir kdgoboss lady mekapu huwa siwezi kwakeli mwe!!!
hamna kama Husna_TheBossLadyUnaweza kujifananisha Na member yupi hapa jf
DJ sepetu