kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Usijali mkuu zitaenda sawa!
DJ sepetu
Haya muoshaji [emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali mkuu zitaenda sawa!
DJ sepetu
Sawani mtu mzuri. i mean im female, hummble, calm and hardworking.
Tulia mzee!
DJ sepetu
Ushimen wangu,mambo mambo mzee baba?Sawa
Mambo mazuri sana comrade, hapa nasubiria tu majibu kama atasema hajaolewe tu.... ninae PM....[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ushimen wangu,mambo mambo mzee baba?
Hapana mkuu, niponae huku pm namuhoji kwamba.... kwanini amekubali kufanyiwa usahili kabla ya kuniuliza..?Mmemtisha
DJ sepetu
Duhh....[emoji15] [emoji15]
[emoji16][emoji16][emoji16]Mambo mazuri sana comrade, hapa nasubiria tu majibu kama atasema hajaolewe tu.... ninae PM....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Aiseee.!!Mabibi Na mabwana habari yenu
Leo tuna furaha ya kumuhost Mrembo Wa jf Bible HusnaThebosslady!
Lengo la show hii ni kujifunza kuelimika Na burudani
Tunaomba ushirikiano Na nidhamu
Katika show yetu ya Leo
Maswali Na majibu sio lazima yampendeze kila mtu, hivyo tuheshimu mawazo ya kila mmoja!
Here we go!
DJ sepetu