HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Sina maneno Nasubiria findings tu [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Mahondaw wa Smart911
Am not doing a research rafiki!!
Have your peace

DJ sepetu
 
Ukipata jibu la jinsia yake ni tag
Miongoni mwa watu ninaowaombea bani ni wewe!
Huna aibu una comment comment ugoro tu!
Husna anatiririka unachomekea Mara sijui sura...hilo sura lako mbona hujapost kama yeye!
Mimi nakuambia bani utaipata soon or later!
Umejaa wivu Na chuki huna lolote
Unahitaji kipimo cha your brain
Ukiandika nyuzi ni utumbo mtupu
Huna ulichobakiza kuchafua watu!
Ili uonekane Na nyota yako ya kunguru!
Huwa sipendi kujibu watu kama wewe ambao ni haters Na naona nimekupa kiki sana kukujibu najuta!

DJ sepetu
 
Asee huu mwandiko...bosslady hakutakii

Sent using Jamii Forums mobile app

"miendonshampendanaakiusomauujumbeehuuatanielewananaatanikubalialakinipiahatakamaakinikataanajuaweweutanikubaliamaanahioavataryakonayosiohabainavutiajenadhanimtakuwanimapachanayesahamanikwahuumwandikomienajifunzaudaktarmwakawamwishotupokujifunzakuandikiadoziwagonjwaauvipiwitieee"
 
Kwa hali hii ilivyo lazima anayetafutwa humu JF kupelekwa Ununio kuminywa Kend.e na kupimwa mkojo kama Roma Mkatoliki atapatikana tu, sio kwa kujiachia huku, soon tutasikia kuna member katoweka na ajulikani alipo, ila alionekana anapanda Noah
 
Mkuu comment yako hii inahusiana vipi Na Uzi huu!

DJ sepetu
 
"miendonshampendanaakiusomauujumbeehuuatanielewananaatanikubalialakinipiahatakamaakinikataanajuaweweutanikubaliamaanahioavataryakonayosiohabainavutiajenadhanimtakuwanimapachanayesahamanikwahuumwandikomienajifunzaudaktarmwakawamwishotupokujifunzakuandikiadoziwagonjwaauvipiwitieee"
[emoji23] [emoji23] kwa muandiko huu tuachie tu bosslady wetu tutaabike nae huko pm!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom