Cuzoo umenichekesha hapo kwenye makongoro[emoji38] [emoji38]Halaf mtu gani anaweza post picha zake vile anakula makongoro vilee[emoji1][emoji1]
JF zaidi ya uijuavyo...Somo ni kuwa usipende kushobokea na Kutongoza tongoza hovyo Hizi avatar na ID feki?? unaona sasa MOD wamemuumbuaAisee [emoji2][emoji2][emoji2] dah! Watu wahuni qweli qweli
Kama unayo kuwa mtakatifu ukipigwa ban tutajua tuKumbe kuwa na id mbili jf sometimes ni mistakes? [emoji26][emoji26][emoji26]
Hahaaaa. Ila jf haijawahi nichukiza dada. Nilishawahi kuona sehemu Bi Faiza aliwahi kusema zile picha ni za muigizaji wa Nigeria kipindi kile ameanzisha uzi wa kukaribishwa jf.Halaf mtu gani anaweza post picha zake vile anakula makongoro vilee[emoji1][emoji1]
Kweli cuzoo ujue ebu niambie we na akili zako unaweza post pic vile [emoji1][emoji1]Cuzoo umenichekesha hapo kwenye makongoro[emoji38] [emoji38]
Umemuona husna[emoji23] [emoji23]
Hapo kama nimekuelewa josseJF zaidi ya uijuavyo...Somo ni kuwa usipende kushobokea na Kutongoza tongoza hovyo Hizi avatar na ID feki?? unaona sasa MOD wamemuumbua
Sent from my iDevice using Tapatalk
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jf nakupenda kwa moyo wote..
Umenikutanisha na waigizaji zaidi ya bongo muvii..
Sijui na yule mdada 19 record studio nahisi ni Me..
Jf nakupenda x2
Ila tulipuuza lakini Leo mambo hadharani[emoji28] [emoji28] [emoji28]Hahaaaa. Ila jf haijawahi nichukiza dada. Nilishawahi kuona sehemu Bi Faiza aliwahi kusema zile picha ni za muigizaji wa Nigeria kipindi kile ameanzisha uzi wa kukaribishwa jf.
Hapa ndio naaza kuwaza huenda alisema kitu cha ukweli kabisa.
Mi nilisema huyu mtu ana ujasiri wa hali ya juu kupost pic zake humu,,Halaf mtu gani anaweza post picha zake vile anakula makongoro vilee[emoji1][emoji1]
Itakuwa dada akeeHahaaaa. Ila jf haijawahi nichukiza dada. Nilishawahi kuona sehemu Bi Faiza aliwahi kusema zile picha ni za muigizaji wa Nigeria kipindi kile ameanzisha uzi wa kukaribishwa jf.
Hapa ndio naaza kuwaza huenda alisema kitu cha ukweli kabisa.
Si mzima kakadada wa watu[emoji23] [emoji23]Kweli cuzoo ujue ebu niambie we na akili zako unaweza post pic vile [emoji1][emoji1]
Sijamuona pic yake tafadhali naombe unipe full detailsUmemuona husna[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usikute pm umeenda majibu uliyokutana nayo ndio unawazaJf nakupenda kwa moyo wote..
Umenikutanisha na waigizaji zaidi ya bongo muvii..
Sijui na yule mdada 19 record studio nahisi ni Me..
Jf nakupenda x2
Husna ni mwanaume anaitwa Erick angalia kwenye majibu yake.