HusnaThebosslady live on muosha rungu TV show!

Status
Not open for further replies.
Halaf mtu gani anaweza post picha zake vile anakula makongoro vilee[emoji1][emoji1]
Hahaaaa. Ila jf haijawahi nichukiza dada. Nilishawahi kuona sehemu Bi Faiza aliwahi kusema zile picha ni za muigizaji wa Nigeria kipindi kile ameanzisha uzi wa kukaribishwa jf.

Hapa ndio naaza kuwaza huenda alisema kitu cha ukweli kabisa.
 
Jf nakupenda kwa moyo wote..
Umenikutanisha na waigizaji zaidi ya bongo muvii..
Sijui na yule mdada 19 record studio nahisi ni Me..
Jf nakupenda x2
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaaaa. Ila jf haijawahi nichukiza dada. Nilishawahi kuona sehemu Bi Faiza aliwahi kusema zile picha ni za muigizaji wa Nigeria kipindi kile ameanzisha uzi wa kukaribishwa jf.

Hapa ndio naaza kuwaza huenda alisema kitu cha ukweli kabisa.
Ila tulipuuza lakini Leo mambo hadharani[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom