Kuna kitu tu wanafaidika nacho si bure ujueMi nilisema huyu mtu ana ujasiri wa hali ya juu kupost pic zake humu,,
Watu tuna i'd mbili ,tatu kwaajili ya ukitandikwa ban unahamia nyingine ,,
Sijaelewa kwanini wanajifanya wanawake
Kweli kabisa. Sio picha zake zile.Ila tulipuuza lakini Leo mambo hadharani[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Makongoro vile woiii ujasiri si wa nchi hii [emoji1][emoji1]Si mzima kakadada wa watu[emoji23] [emoji23]
NdioooKumbe kuwa na id mbili jf sometimes ni mistakes? [emoji26][emoji26][emoji26]
Hahahaha mtakutana hafi na majiniJf nakupenda kwa moyo wote..
Umenikutanisha na waigizaji zaidi ya bongo muvii..
Sijui na yule mdada 19 record studio nahisi ni Me..
Jf nakupenda x2
Umeonaeee. Ila nazidi kuwapenda mods aisee.Itakuwa dada akee
Hapa anatusare na id nyingine tuMakongoro vile woiii ujasiri si wa nchi hii [emoji1][emoji1]
Hili ni ajabu la 10 la dunia kujishau kote kule Mara headmistress kumbe njembaHusna ni mwanaume anaitwa Erick angalia kwenye majibu yake.
Mods watu wazuri sana hawachelewi wala hawawahiUmeonaeee. Ila nazidi kuwapenda mods aisee.
asante RafikiPole sana rafiki yangu
Mwanaume kabisaa si kwa yale mashauzi mtoto wa kishua my foot[emoji38] [emoji38] [emoji38]Hili ni ajabu la 10 la dunia kujishau kote kule Mara headmistress kumbe njemba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sanaItakuwa ya kisasa[emoji28]
Ipi sasa labda kama anasoma kama guest jana aliniuzi sana kuniongelea hovyoHapa anatusare na id nyingine tu
Hiyo hiyo sijui anaona wanawake tunafaidi sanaIpi sasa labda kama anasoma kama guest jana aliniuzi sana kuniongelea hovyo
Bahati mbaya juhudi zake ziligonga mwamba watu sijui wapoje?Mkuu Jana si kwa kibano kile alichokupa eti we yule jamaa Na mahondaw ni mchuchu wako
DJ sepetu
Boss anauza vitandaasante Rafiki
Sent from my iDevice using Tapatalk
Duh!jaman kweli jamba usilo lijua ni usiku wa GizaMwanaume kabisaa si kwa yale mashauzi mtoto wa kishua my foot[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Anamwambia muosha rungu nani hajui kama we shunie i'd ya shunie unatumia week end tu [emoji1][emoji1][emoji1]me naingia week end humuHiyo hiyo sijui anaona wanawake tunafaidi sana