Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Nenda kwa nyuzo zake erick anauza vitandaMtoto wa daddy na kitanda hiko veeep [emoji1][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwa nyuzo zake erick anauza vitandaMtoto wa daddy na kitanda hiko veeep [emoji1][emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hili ni ajabu la 10 la dunia kujishau kote kule Mara headmistress kumbe njemba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa[emoji38] [emoji38]Mtoto wa daddy na kitanda hiko veeep [emoji1][emoji1]
Mim ni ke hata zikiunganishwa ni ke zote[emoji23]
Ngoja niendeNenda kwa nyuzo zake erick anauza vitanda
Mm peke yangu humu sina gari wala nyumba [emoji1][emoji1] nakaa room moja natumia wereva yangu maisha yanaenda tunaonana jfHapo sasa[emoji38] [emoji38]
Jf raha sana yani humu kila mtu ana kazi nzuri. Wote tunakaa masaki, Mbezi beach, Sinza na Mikocheni[emoji23] [emoji23]
Bila kusahau gari na iphone na samsung wereva hatutumiagi.
Yani wewe kama mimi.Mm peke yangu humu sina gari wala nyumba [emoji1][emoji1] nakaa room moja natumia wereva yangu maisha yanaenda tunaonana jf
Yani wewe nakupa pole sana aiseee[emoji38] [emoji38]Yaani kabla ya interview nitakuwa nawapima mkojo ili kujua ni ke au me!
DJ sepetu
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nahisi tupo wachache sana humu hata kumi hatufukiYani wewe kama mimi.
Maisha ya kawaida kabisa mi siyo mtoto wa dady[emoji28] [emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtoto wa daddy na kitanda hiko veeep [emoji1][emoji1]
Sipati picha ulivyokuwa unamuita bibie pm[emoji28] [emoji28]Y
DJ sepetu
Tupime kabisa[emoji23]Yaani kabla ya interview nitakuwa nawapima mkojo ili kujua ni ke au me!
DJ sepetu
Kabisa na tunazidi kupotea kwa kasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nahisi tupo wachache sana humu hata kumi hatufuki
Mtoto wa daddy aache kulalia kitanda cha mamillion analalia cha fundi juma [emoji1][emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseeeeee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sipati picha ulivyokuwa unamuita bibie pm[emoji28] [emoji28]
Halaf ukisema hivyo utasikia yaan shunie kabisa unaishi kwenye chumba kimoja[emoji23][emoji23]Mm peke yangu humu sina gari wala nyumba [emoji1][emoji1] nakaa room moja natumia wereva yangu maisha yanaenda tunaonana jf