Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ke kabisa Muuliza NgabuNingeanza Na wewe[emoji12] [emoji12]
DJ sepetu
Swahiba nini tena[emoji28] [emoji28][emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Ndio hapo sasa. Daah.Mtoto wa daddy aache kulalia kitanda cha mamillion analalia cha fundi juma [emoji1][emoji1]
Ndo anauza anunue cha millionMtoto wa daddy aache kulalia kitanda cha mamillion analalia cha fundi juma [emoji1][emoji1]
Umeona eenh unapambana na hali yako ya nini kuishi fake hizo mambo ndio zimenishinda aisee kutaka maisha kama ya husna boss lady kumbe wote tunakutana kwenye mwendo kasi ukija jf unajifanya nipo kwenye foleni nadrive [emoji1][emoji1] kumbe upo kwenye mwendokasi umeshikilia bombaHalaf ukisema hivyo utasikia yaan shunie kabisa unaishi kwenye chumba kimoja[emoji23][emoji23]
Mi bora nakaa kwetu nalishwa [emoji23][emoji23][emoji23]
kufukua kaburi[emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja niende
Bado sana sio anauza alale chini cuzoo [emoji1]Ndo anauza anunue cha million
Muulize akiamkaNgabu anabeba box kwa Trump[emoji12] [emoji12]
DJ sepetu
ukweli unamuweka mtu huruMm peke yangu humu sina gari wala nyumba [emoji1][emoji1] nakaa room moja natumia wereva yangu maisha yanaenda tunaonana jf
Aiseee. Amejua kucheza na akili za watu sana.Swahiba nini tena[emoji28] [emoji28]
Erick anauza kitanda hicho.
Achana na plasta
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]kufukua kaburi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iDevice using Tapatalk
Kweli kabisaukweli unamuweka mtu huru
Sent from my iDevice using Tapatalk
Sipati picha wale waliokuwa wanaomba kazi kwenye Kampuni ya Baba yake itakuwa alichora sana CV za watu.Ndo anauza anunue cha million
Ahhaahhaah ooo my G ,kumbe tenaSipati picha wale waliokuwa wanaomba kazi kwenye Kampuni ya Baba yake itakuwa alichora sana CV za watu.
Nimemuita atakuja akiamka,akuambie mi dume au jikeSaa Tisa [emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Wapo waliokuja kwenye ule uzi kwamba wanaomba kazi sa sijui kama hawakwenda huko PMAhhaahhaah ooo my G ,kumbe tena