Mmh. Jamaaani.
Nimecheka sana ujue. Lol.Mara paaaaapuuu numbisa kawa hiihiii hiii tumekusomaaa hahahaaa Jf raha bana
Nimecheka sana ujue. Lol.
Sijutii MB zangu aiseee.
Hahaaa. Aisee. 30 wachache sanaaaaa.
Kabisa ila nimecheka sanaKabisa idumu JF inatuongezea umaskin wa MB ila inatupa faida za afya murua kwa kicheko matata
Dah! Na bado wapo wengi sana sjui wanatamani kuwa kama nyie au wanaona raha ya kuwa wanawakeHahaaa. Aisee. 30 wachache sanaaaaa.
Tulio wengi jinsia ni za kwetu ila kuna wachache ambao hata sijui wanafaa tuwaweke kundi gani na hao ni wale ambao wanatamani kuwa na jinsia kama ya kike ila tu ndio hawana jinsi wanabaki kuwa na id za kike.
Ila wanakuwa na kipaji cha kipekee mana kujifanya mwanamke na watu wakaamini sio kazi ndogo mkuu.Dah! Na bado wapo wengi sana sjui wanatamani kuwa kama nyie au wanaona raha ya kuwa wanawake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sjui huwa wanawaomba dada zao au wake zao kuhusu suala la Ku chatIla wanakuwa na kipaji cha kipekee mana kujifanya mwanamke na watu wakaamini sio kazi ndogo mkuu.
Mama saby hapa kunaendelea nini?Daby Nyani Ngabu mkuje kama mlienda pm mlienda kwa dume
Inawezekana Sergio
Ndyo maana mm nimepunguza kabsa shobo dundo na wanawake wanaojirahishisha humuInawezekana Sergio
Yule husna the boss lady ni dume kumbe tena ni erick etieno [emoji23]Mama saby hapa kunaendelea nini?
Bila kusahau na member wa jf hatuzi 10Inawezekana Sergio
Yaani wewe... umejuajeYule husna the boss lady ni dume kumbe tena ni erick etieno [emoji23]
Hivi kumbe sergio kuna wanaojirahisisha humu. [emoji1][emoji1]Ndyo maana mm nimepunguza kabsa shobo dundo na wanawake wanaojirahishisha humu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bila kusahau na member wa jf hatuzi 10
Kwa hiyo sergio muongo
Soma mwanzo wa post kabisa id zimeunganishwaYaani wewe... umejuaje
Jaribu kufanya uchunguzi alfu badae nitadi feedbackBila kusahau na member wa jf hatuzi 10
Kwa hiyo sergio muongo
TehSoma mwanzo wa post kabisa id zimeunganishwa