Mi simo kwenye habari za mods hapa tunamsemea bosslady mwifwa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama ndio Mods basi mods mwenzio kafanya yake na kamlamba Ban tukufu
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujue anaweza asitokee hapa anatusoma tu
Sasa mm ni shostito[emoji12] [emoji12]Jamanii nini kimetokea humu?
Mashostito nijibuni!
Cc. Shunie, emmmyta, muosha rungu, Quigley , Ushimen, Sergio 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Shoga ako yulee husna boss lady ni mwanaume ndugu i'd yake imeungaishwaJamanii nini kimetokea humu?
Mashostito nijibuni!
Cc. Shunie, emmmyta, muosha rungu, Quigley , Ushimen, Sergio 5
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Fake id's ndio sababu kuu na hiyo ndio inayosababisha mtu kujiamini kwa 100%
Utasema haendi chooniYule mtu hapana jaman
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana dada atakua anataka kulala chini ujue
Ila alijipanga mana kuna data alikuwa anazitoa utadhani za kweli kumbe magumashi. LolJF kuna vituko sana,yani muuza kitanda anajifanya mtoto wa mboga saba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni punga ili watu watwangeKuna anachokitafuta
Bora angekuwa seremala!!JF kuna vituko sana,yani muuza kitanda anajifanya mtoto wa mboga saba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eee, mwishowe kaumbuka kwa aibu..sidhani kama atakanyaga huku tenaFake id's ndio sababu kuu na hiyo ndio inayosababisha mtu kujiamini kwa 100%
Dada nawaza tu apa maraaa paaaap yule mtu inajulikana mwanaume ujue ushimen tutamkuta icu [emoji1][emoji1]Inabidi atulie tuu sasaaa.... Hilo ni pigoo
Yani kwakweli mods leo wamenitia hofu sanaKweli dada akee otieno anaishi kwa room moja huko ujue nawaza tu mods wanajuaje mpaka kuunganisha id
Nakwambia walimshadadia mwalimu mkuu mpaka mwisho....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utafkili wenyewe matajiri
[emoji13][emoji13][emoji13]Sasa mm ni shostito[emoji12] [emoji12]
DJ sepetu
Halafu mbona siwaoni humuuuuNa wamekomeshwa
Mara paaap Ukhuty ndio mimi(jokes)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usinivunje mbavu bwana nishachoka kucheka anatafuta pes kwa stail ya kizamani
Ebu niambie mods wanajuaje mara paaaap ukhuty ndio shunie [emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usinivunje mbavu bwana nishachoka kucheka anatafuta pes kwa stail ya kizamani
Vipi na wewe una ka ID ka reserve??