DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
- Thread starter
- #801
Ulisema unapenda mpini kwa kuwa hewa haitoki vip sasa mumeo akiwa Na dole gumba tukwanza sina mume...pili, nguvu za kiume ni theoritical fantasy ambayo educators wameamua kuishikia bango maana kwasasa ndo inalipa: mume wangu kuniridhirisha ni uwezo wake binafsi, uvumilivu wangi ni milele kwasababau tayari ndo nshamchagua kuwa mume, so sina option.
DJ sepetu