Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Wii huyu wa kujiita husna na dume anaitwa erick[emoji23] [emoji23]My wii em nipe japo muhtasari wa hii kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wii huyu wa kujiita husna na dume anaitwa erick[emoji23] [emoji23]My wii em nipe japo muhtasari wa hii kitu
Kakushea sio kazuri ujue tutakua tunagombania kila siku [emoji1]Tujitahid tuchange tupate hata kagari kakushea mpenz
Kweli ujue wakuje tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nimekubali nitakaa kushot kila siku wal usihofKakushea sio kazuri ujue tutakua tunagombania kila siku [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie nimekubali nitakaa kushot kila siku wal usihof
Eti ilikiwaje hadi Id zake zikaunganishwa[emoji23] [emoji23] maana naogopa wasije wakanigeuza Ke siku sio nyingi.Kakushea sio kazuri ujue tutakua tunagombania kila siku [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenichekesha sana ndugu yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zimeunganishwa kwa I'd yake ya zamani ya kiume kwahiyo alikuwa na I'd mbili ya kike na kiume ila yeye ni mwanaumeEti ilikiwaje hadi Id zake zikaunganishwa[emoji23] [emoji23] maana naogopa wasije wakanigeuza Ke siku sio nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa walijuaje kwamba I'D zote mbili ni zake ikiwa kila I'd inatumia Email tofautiZimeunganishwa kwa I'd yake ya zamani ya kiume kwahiyo alikuwa na I'd mbili ya kike na kiume ila yeye ni mwanaume
Mara paaap nimevunjika mbavu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aiseee siku ile nilimwambia emmyta huyu husna yuko shallow sana. Hana jipya.
Mara paaaaap ni kakadada.
Yani mlioenda PM kama nawaona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sergio nakuhamisha ujue[emoji28] [emoji28]
Hao ndio mods bana ndio ujue wanakujua kuliko unavyojijuaSasa walijuaje kwamba I'D zote mbili ni zake ikiwa kila I'd inatumia Email tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara paaaap naitwa Erick[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi ngoja tuone, ipo siku utasikia mara paap shunie ni juma.Hao ndio mods bana ndio ujue wanakujua kuliko unavyojijua
Hahaaaaaaaa Mwifwa wewe hukuenda pm kwa kakadada[emoji38] [emoji38]Mara paaap nimevunjika mbavu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Linamo munngu anakuona ujue