Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Ogoha wanadamu [emoji1]Mpaka nikajiona maskini mwenyewe.... Ogopa mtu anasema million sio helaa.... Ogoha dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ogoha wanadamu [emoji1]Mpaka nikajiona maskini mwenyewe.... Ogopa mtu anasema million sio helaa.... Ogoha dunia
Yani cuzoo nilijihisi nothing[emoji38] [emoji38] [emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakwambia kwa ile interview yake nilienda kujiangalia kwenye kioo kwa dk 30[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kabisa na kucheza na akili za watu juu. Ila ni moja kati ya tabia mbaya kutokea aisee.Ni shida kuna watu wanajua kutuchora sana
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
mbaya zaidi MWANAUME Anajifanya MWANAMKEHalafu ziko nyingiii balaa
Nilijihisi labda nina mkosi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ooohh, nikisahau katazo la link mkuu.Mkuu link hairuhusiwi humu cha msingi nenda kwenye ule Uzi Wa forex wa kwanza Wa Ontario wadau watakuunga faster
DJ sepetu
Mpaka unaweza mkufuru Mungu ujue cuzoo unajiuliza huyu mtu ata chini anakanyaga kweliYani cuzoo nilijihisi nothing[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Nakwambia hata juzi za yuleee bibie aliwahi alikuwa anaomba pm kama hana akili nzuri....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf dada ushimen ana bahati mbaya kumbuka ile ya kungwi tatizo anapenda sana kuwahi pm
Yani alinifanya nijione sina bahati kumbe uharo tu[emoji38] [emoji38][emoji23] [emoji23] [emoji23] sio kwa jambajamba ile!
DJ sepetu
Nipijie kenye namba yangu, nitakudipu badae [emoji119][emoji104]Hee veepee!
DJ sepetu
Basi mwenyewe ulivyoona yale madoido ukamuogopa kabisa[emoji23] [emoji23]Nilijihisi labda nina mkosi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli mi bado bora
Kumbe boya tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpaka unaweza mkufuru Mungu ujue cuzoo unajiuliza huyu mtu ata chini anakanyaga kweli
Yani ushimen ana hali mbaya sahiziNakwambia hata juzi za yuleee bibie aliwahi alikuwa anaomba pm kama hana akili nzuri....
Hahaaaa duuuh, nimecheka hatarichangamoto pekee ni kukutana na wanaume wapumbavu wengi kwa siku kuliko wanaojielewa....actually mm headmistress, so huwa naogopwa flani hivi amazing
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujue anaweza asitokee hapa anatusoma tuNakwambia hata juzi za yuleee bibie aliwahi alikuwa anaomba pm kama hana akili nzuri....
Ahaaaa.Nimeona amekuquote mahali ndo nimeuliza[emoji28] [emoji28] [emoji28]
HahahaNakwambia kwa ile interview yake nilienda kujiangalia kwenye kioo kwa dk 30[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]