Zaidi ya vizuri asee, raha tupu!Yeah... Very well and you...
Hata mimi nimekumisijee...! Vipi rafiki yangu Nitty,anakutreat vizuri?
Utajibeba!Dah na SL pia ananitosa bora hata angejua dada yako Kaby walau huwa na majungu ila ananisaidiaga ila mkeo lol hafai
Weka tu Kaizer, nitonye nimemwekea mitambo maalumu ole wake atakayejisogeza!
hahaha kweli unakaba
Zaidi ya vizuri asee, raha tupu!
Nafurahi kukuona humu kwenye jamvi...wapotea sana siku hizi nini tatizo?
Ok, nafurahi kusikia tutakuwa pamoja..Shem siwezi kuelezea mmoja kwa moja tatizo. Ila this time I believe.. Tutakuwa pamoja..
Utajibeba!