Husninyo nakuja.......nipokee tafadhali

Bado yupo Moro na kitu cha Maty!!!
si unajua huyu ni Kabaila on heart.

hahahaaaaaaa mwacheni afurahie mazingira ya moro bana karibu mishkaki hapa

orait! vp mwataka nimkagua na Maty en route?
wote hapa maty maty wengine hamtuoni?

:nono::nono😛opu sio mkaguzi.....
caring is sharing

orait ngoja mi ntakula kbs TFDA wetu babu keshamaliza ukaguzi sio?
thubutuuuuuuuuuu

Habari zenyu makabaila?
vp ushamaliza kazi hwajambo hapo guest

habari yake HOMMIE ukiripoti from usalule!

leo ni leo 2

Nilimtonya hommie nkamwambia nimechoma mkuki mlangoni so ye apite tu amwahi usninyo!
acha ukabaila waachie na wenzio

Angalia bana......utapigwa ban la maisha.....
haiwezi tokea punguza mkwala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…