Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio unakurupuka,uadui wao haukua siri tena,rwanda kuondolewa congo pamoja na Tz **** jeshi congo,fuatilia utajua kilichokuwa kikiendela,waasi wa rwanda congo n.k hatukurupuki.Jk alijaribu nini
Wacha kukurupuka
kuna kitu Jk alijaribu kukifanya zidi ya Rwanda
Mh...... Mkuu unajiamini kiasi hicho kuayaandika hayo??26042018 Magufuli atafanyiwa kile alichofanyiwa Col. Gadafi kwenye lile kalavati. Hatutahitaji hata kujua kaburi lake liko wapi
Sifuri kabisa. Rubbish!Yaani mimi ndio ningekuwa ni RAIS wa nchi hii...yaani wewe uliyeandika huu upuuzi MBONA JF lazima wangenipa information zako afu ukaonyeshe hilo KABULI...unaandika upuuzi upuuzi afu upo nyuma ya KEYBOARD...WEWE MPUUZI KWELI
Umemuuliza swali zuri sana MkuuThe question remains is Bashe right or wrong!?!?
Mengine ni ulofa tu wa nyie vijana uwe CCM, Upinzani au wasio na itikadi.
Mpe za uso huyo kada wa Lumumba........jf si kama gazeti la kufungia chapati la uhuru mjomba
JK aligundua mapema sana kuwa Bashe ni janga. Kweni kesi ya uraia ilifunguliwa awamu ipi?Nimecheka mpaka nikalia eti Bashe alikuwa Ana andika vyombo vya ulinzi vichunguzwe hasa Tiss kwa mnyetishaji alie nipa hili drip anasema watu walikuwa wanamuona tangu anapanga wazo na mpaka alipofika. Watu walikuwa wanamchora na kumpa credit aandike ule mukatasari ambao uwenda ulipofika ofisi fulani wali ushread bila hata kusoma. Na inaonekana jamaa baada yakuona kweli jamaa wamepiga cool akatafuta sehem pakwenda kusema ili taarifa ifike kwa haraka na serikali ipanic.
Bashe pole sana kaka serikali haitishwi na simple like that. Jamaa wakasema acha aseme anachofikiri lakini pia hatojibiwa. Jamaa akatoka apovu ila nyuma ya pazia wameuacha na panic mwenyewe maana inahuzunisha. Ina maana Bashe hakujuwa wanamsukumia motoni na kisha ajikute mwenyewe? Hhehehhe
Kiufupi hatojibiwa na wenye akili tulisema hatojibiwa ila moderator mkafuta sasa amejibiwa?
Huko bungeni sijuwi hata kama utapata nafasi kuandikwa umepokelewa nahisi...... Nakaa kimya.
Bashe tafakari wanao kutuma. Usalama wetu sio kama wa somalia au ruwanda ama burundi Tz tupo level nyingine my dear. Pole sana
Hivi kuna hoja kweli??Msikilize Mwigulu vizuri. Njoo ujibu hoja.
KabuliYaani mimi ndio ningekuwa ni RAIS wa nchi hii...yaani wewe uliyeandika huu upuuzi MBONA JF lazima wangenipa information zako afu ukaonyeshe hilo KABULI...unaandika upuuzi upuuzi afu upo nyuma ya KEYBOARD...WEWE MPUUZI KWELI
Mkiambiwa mna akili ndogo mnabisha? Soma ulicho andika alafu usilaumu ukijipoteza.26042018 Magufuli atafanyiwa kile alichofanyiwa Col. Gadafi kwenye lile kalavati. Hatutahitaji hata kujua kaburi lake liko wapi
Bdo haijafka mkuu..?26042018 Magufuli atafanyiwa kile alichofanyiwa Col. Gadafi kwenye lile kalavati. Hatutahitaji hata kujua kaburi lake liko wapi
Damu ya Ben saa8 inakuhusuNimecheka mpaka nikalia eti Bashe alikuwa Ana andika vyombo vya ulinzi vichunguzwe hasa Tiss kwa mnyetishaji alie nipa hili drip anasema watu walikuwa wanamuona tangu anapanga wazo na mpaka alipofika. Watu walikuwa wanamchora na kumpa credit aandike ule mukatasari ambao uwenda ulipofika ofisi fulani wali ushread bila hata kusoma. Na inaonekana jamaa baada yakuona kweli jamaa wamepiga cool akatafuta sehem pakwenda kusema ili taarifa ifike kwa haraka na serikali ipanic.
Bashe pole sana kaka serikali haitishwi na simple like that. Jamaa wakasema acha aseme anachofikiri lakini pia hatojibiwa. Jamaa akatoka apovu ila nyuma ya pazia wameuacha na panic mwenyewe maana inahuzunisha. Ina maana Bashe hakujuwa wanamsukumia motoni na kisha ajikute mwenyewe? Hhehehhe
Kiufupi hatojibiwa na wenye akili tulisema hatojibiwa ila moderator mkafuta sasa amejibiwa?
Huko bungeni sijuwi hata kama utapata nafasi kuandikwa umepokelewa nahisi...... Nakaa kimya.
Bashe tafakari wanao kutuma. Usalama wetu sio kama wa somalia au ruwanda ama burundi Tz tupo level nyingine my dear. Pole sana