Hussein Bashe [MB] aomba Bunge kuunda kamati teule ya Bunge kuchunguza kikundi cha utekaji kilichopo ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa - TISS

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592

View: https://youtu.be/63sXH3357rs?si=3ImWk0_uC_FVkAcf
Tunafukua makaburi:

Hapo ni Bashe alipokuwa bado mbunge tu, back bencher hajalambishwa asali ya uwaziri. Baada ya hapo, aliteuliwa kuwa Waziri na kisha naye akajiunga na watekaji🤔🤔🤔 halafu kimyaaaa mpaka Leo...

Alilia na kuwa na hofu baada ya yeye naye kuwa kwenye orodha ya watu 11 walio kwenye zamu ya kutekwa na kushughulikiwa..

Askofu Josephat Gwajima [MB] - CCM - Jimbo la Kawe, akiwa kanisani kwake ktk mahubiri ya ibada, akamuunga mkono lakini mpaka leo ni business as usual na hoja ilijifia yenyewe...
 
Hapo ni Bashe alipokuwa bado mbunge tu, back bencher hajalambishwa asali ya uwaziri. Baada ya hapo, aliteuliwa kwa Waziri na kisha naye akajiunga na watekaji🤔🤔🤔

Ni baada ya yeye naye kuwa kwenye orodha ya watu 11 walio kwenye orodha ya kutekwa na kushughulikiwa..

Askofu Josephat Gwajima [MB] - CCM - Jimbo la Kawe, amuunga mkono akiwa ktk mahubiri kanisani kwake...

Hahahaa movie ya checknoris imenikumbusha mbali sana

Napitatui

Mwambulii juu

Mwamvuliichiniii

Tukutane jupili kumfufua Amina chifupa

Aisee wananchi hadi waislamu walijazana KANISANI kusubiri Amina

..anawaonaaaa amina
 
View: https://youtu.be/63sXH3357rs?si=3ImWk0_uC_FVkAcf
Tunafukua makaburi:

Hapo ni Bashe alipokuwa bado mbunge tu, back bencher hajalambishwa asali ya uwaziri. Baada ya hapo, aliteuliwa kuwa Waziri na kisha naye akajiunga na watekaji🤔🤔🤔 halafu kimyaaaa mpaka Leo...

Alilia na kuwa na hofu baada ya yeye naye kuwa kwenye orodha ya watu 11 walio kwenye zamu ya kutekwa na kushughulikiwa..

Askofu Josephat Gwajima [MB] - CCM - Jimbo la Kawe, akiwa kanisani kwake ktk mahubiri ya ibada, akamuunga mkono lakini mpaka leo ni business as usual na hoja ilijifia yenyewe...

Naunga mkono hoja hoja hii ya Bashe, iliibua bandiko hili
TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! na nikatoa ushauri huu
Wapinzani msione aibu kushirikiana na CCM kwenye hoja zenye maslahi ya Taifa! Bashe ni mzalendo, aungwe mkono na wote!
Wanabodi,

Naomba pia kutoa angalizo kuhusu wabunge vocal na wazalendo kama hawa kwa siku za nyuma.
Siku zote wabunge vocal huwa wananyamazishwa kwa kutupiwa pande, ndicho kilichofanyika kwa Mwakyembe, Mwigulu Nchemba, Kangi Lugora, Dr. Kigwangala etc, hivyo this Bashe, is a man to watch, hachelewi kutupiwa pande la mnofu, halafu mumsikilize kama mtamsikia tena!.

Siku Njema
Paskali.
P
 
Sijui Gwajima lakini Bashe sina umani naye, Hawa ni Waarabuwaarabu wanaotudharau watu weusi
 
Bashe huyo huyo ukimkumbusha hayo atakushangaa sana.

Kwanza atakuuliza kuwa utekaji utatokea wapi wakati huu; maana hayo yalikuwa ya awamu ya tano na kiongozi wake.
Sasa hivi kuko shwari kabisa; hayo makelele unayosikia ya utekaji yanatoka kwa watu wasiokuwa na shukrani juu ya kazi kubwa anayoifanya mama.
 
Namkumbuka Mohamed seif khatib na kitabu chake cha fungate la uhuru. Hawaaminiki hawa.
 
View: https://youtu.be/63sXH3357rs?si=3ImWk0_uC_FVkAcf
Tunafukua makaburi:

Hapo ni Bashe alipokuwa bado mbunge tu, back bencher hajalambishwa asali ya uwaziri. Baada ya hapo, aliteuliwa kuwa Waziri na kisha naye akajiunga na watekaji🤔🤔🤔 halafu kimyaaaa mpaka Leo...

Alilia na kuwa na hofu baada ya yeye naye kuwa kwenye orodha ya watu 11 walio kwenye zamu ya kutekwa na kushughulikiwa..

Askofu Josephat Gwajima [MB] - CCM - Jimbo la Kawe, akiwa kanisani kwake ktk mahubiri ya ibada, akamuunga mkono lakini mpaka leo ni business as usual na hoja ilijifia yenyewe...

Kumbe huyu hawajuwi majambazi / mafirahuni waitwao CCM, we mwache tu, naona anatafuta sasa kutekwa yeye na kutupwa Mwabepande.
 
Kwa hiyo tuna polisi wenyewe, tiss, uvccm (greenguard), wahuni, nk. Nadhani hili jambo ni hatari sana kwa usalama wa raia.
 
View: https://youtu.be/63sXH3357rs?si=3ImWk0_uC_FVkAcf
Tunafukua makaburi:

Hapo ni Bashe alipokuwa bado mbunge tu, back bencher hajalambishwa asali ya uwaziri. Baada ya hapo, aliteuliwa kuwa Waziri na kisha naye akajiunga na watekaji🤔🤔🤔 halafu kimyaaaa mpaka Leo...

Alilia na kuwa na hofu baada ya yeye naye kuwa kwenye orodha ya watu 11 walio kwenye zamu ya kutekwa na kushughulikiwa..

Askofu Josephat Gwajima [MB] - CCM - Jimbo la Kawe, akiwa kanisani kwake ktk mahubiri ya ibada, akamuunga mkono lakini mpaka leo ni business as usual na hoja ilijifia yenyewe...

Nipo hapa Mwabepande njia panda nasubiria gari la mizoga ili nishuhudie nani anakuja kutupwa.
 
View: https://youtu.be/63sXH3357rs?si=3ImWk0_uC_FVkAcf
Tunafukua makaburi:

Hapo ni Bashe alipokuwa bado mbunge tu, back bencher hajalambishwa asali ya uwaziri. Baada ya hapo, aliteuliwa kuwa Waziri na kisha naye akajiunga na watekaji🤔🤔🤔 halafu kimyaaaa mpaka Leo...

Alilia na kuwa na hofu baada ya yeye naye kuwa kwenye orodha ya watu 11 walio kwenye zamu ya kutekwa na kushughulikiwa..

Askofu Josephat Gwajima [MB] - CCM - Jimbo la Kawe, akiwa kanisani kwake ktk mahubiri ya ibada, akamuunga mkono lakini mpaka leo ni business as usual na hoja ilijifia yenyewe...

Dogo Bashe unacheza na wauwaji CCM, hawa hawanaga huruma hata mwana CCM mwenzao wanamuua, ohooooo.....shauri yako.
 
Huyu maiko dudikof ni tapeli wa wizara ya kilimo. Kashalamba asali ya kutosha hana haja na kujua watekaji tena.
 
View: https://youtu.be/63sXH3357rs?si=3ImWk0_uC_FVkAcf
Tunafukua makaburi:

Hapo ni Bashe alipokuwa bado mbunge tu, back bencher hajalambishwa asali ya uwaziri. Baada ya hapo, aliteuliwa kuwa Waziri na kisha naye akajiunga na watekaji🤔🤔🤔 halafu kimyaaaa mpaka Leo...

Alilia na kuwa na hofu baada ya yeye naye kuwa kwenye orodha ya watu 11 walio kwenye zamu ya kutekwa na kushughulikiwa..

Askofu Josephat Gwajima [MB] - CCM - Jimbo la Kawe, akiwa kanisani kwake ktk mahubiri ya ibada, akamuunga mkono lakini mpaka leo ni business as usual na hoja ilijifia yenyewe...

Drama
 
Bila Watekaji hakuna ccm

Uhai wa CCM upo mikononi mwa Watekaji. Utekaji Watu ukikomeshwa na CCM nayo itakufa.
 
Back
Top Bottom