hivi mmejuaje kama jamaa ni bwabwa???? inaonekana na nyie labda ni mabwabwa au mabasha, kumjua mtu ni shoga eti kwa sababu anajichubua au kuvaa macheni shingoni au kipuli sikioni haitoshi kumhukumu , tunamhukumu tu kwa kumuona direct mienendo yake kuanzia kuongea, kutembea na kujinadi mwenyewe kuwa ni anti,, tofauti na hapo labda ni shoga mwenzio kwa sababu mnabadilishana habari za mabwana kila uchwao au labda nyie ni mabasha na mlishawahi kulala na mhusika..... sasa mtuambie nyie ni mashoga au mabasha??? tusipende kupaza sauti kwa mambo ya kusikia,,, Jamaa ni moja ya mabaharia wa kitambo sana na mwanzo kabisa hapa bongo,, alikuja hapa na ule umagharibi na kipindi kile hapa kwetu mambo hayo yalikuwa mageni basi watu wakaona yeye ni shoga na kuenda kwake mziki wa kikongo basi ndio kabisa wabongo tukaconclude... tafuteni watu wake wakaribu watasibitisha hili na sio kuongea mambo msiyokuwa na uhakika nayo !!!!!