IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,578
- 7,774
kuna kabila fulani huku kwetu wanapenda sifa kama hizi!!!
Ahahahaaazaaaaa.....anajiita Papaa Kinyani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna kabila fulani huku kwetu wanapenda sifa kama hizi!!!
kuna kabila fulani huku kwetu wanapenda sifa kama hizi!!!
Duuu bora
umenijulisha, nipo njiani naenda singida na hapo ndio nilikuwa nimepanga
kukodi. Duu tena nina laptop 2 na digital camera 1, simu apple ya
1.2mil, asante ndugu kwa kunijulisha hayo majizi yanayofugwa na
mipolisi. :crying:
Akhsanteni kwa taarifa ambayo ni muhimu sana kwangu maana naendaga sana kikazi Singida, kwa taarifa hiyo hata guest zote zikijaa sitaenda kulala katika guest hiyo wala kuulizia.
Duuu bora umenijulisha, nipo njiani naenda singida na hapo ndio nilikuwa nimepanga kukodi. Duu tena nina laptop 2 na digital camera 1, simu apple ya 1.2mil, asante ndugu kwa kunijulisha hayo majizi yanayofugwa na mipolisi. :crying:
nampendaga huyu kaka!! pole yake mwaya! kuna sehemu si za kwenda!
Hii hotel bado ipo tu? Kajaribu singida motel
hilo kweli kabisa mkuu,ana ndugu zake dodoma wa na gesti,kina mallya hapo lazima ulizweaisee ni kweli hii gesti ya stanley miaka ya nyuma ndio ilikuwa ndio gesti ya kifahari mkoani {singida mjini} . kulikuwa na tuhuma zinavuma mtahani kwamba ukilala pale wakijua unahela unaweza sikia siku hiyo majambazi wanavamia kisha mnasachiwa na kuibiwa.na mwenye gesti anakula njama na majambazi.mapolisi wakija wanaishia kuambiwa ni majambazi walivamia, mnaandika taarifa pale mda unakwenda na mnakuwa mmeshaibiwa.
binafsi sina hobi na machozi mi napenda kucheka tu, ila nachojua kwa mtu mwenye umaarufu wa machozi kuamua kuchagua gesti nzuri ni kitu cha kawaida simfahamu vizuri machozi ila siamini kama na yeye ni pedeshee.nachokifahamu ni kuwa hii gesti inatuhumiwa kuusika na wizi/ujambazi kwa wateja wake. hata wenyeji wanajua watu wa mkoa na watu maarufu wanajua. ni wageni tu wasiojua. hacha kuwatetea wewe. kuhusu 'blanket chapa mtu' nakushauri acha kuja na hoja za kishamba weweSi kweli Stanley ni lodge salama,tatizo hivi vipedeshee vikifika mkoani hupenda kujionyesha kuwa wao ni wa Dar na kutokana na baridi la Singida hupenda kuchukua blanketi chapa mtu,hizo blanketi hutoa dozi ya nguvu ambayo hukupa usingizi wa pono na baadaye kusepa na kila kitu,si ajabu alichukua hapo kwa mzee Mmasi G/House ni opp na Stanley