Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namwita dogo yaani mwinyi Junior, yupo mwinyi seniorNaunga mkono hoja lakini ulipomwita dogo sio sawa Huyu ni mheshimiwa Rais naamini CCM hawatotuangusha nchi inataka mtu mwenye maamuzi kama DR.Mwinyi kwa sasa
Rais aliye kuwa serios na maisha ya watanzania ni JPM ukiachilia mbali JKN.
Huyu dogo ana maamuzi ya kiume na ana nia ya kweli yakutuondolea umasikini na kuleta maendeleo tumpe fursa 2025 awe Rais wa JMT,
JPM ni raisi aliyepaform vizuri sana. Japo mifisadi ilitengeneza mikakati ya kumchafua miaka mitano tu ya utawala wake we feel the positive impactRais aliye kuwa serios na maisha ya watanzania ni JPM ukiachilia mbali JKN.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hao ulowataja ndio waliowafukarisha watanzania harafu wewe unasema ndo walikuwa serious na maisha ya watanzania?Rais aliye kuwa serios na maisha ya watanzania ni JPM ukiachilia mbali JKN.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Chotera amekariri English,hajui kua Junior ni Dogo kwa kiswahili! Alaitaka kusikia ukisema Mwinyi Junior!!!Namwita dogo yaani mwinyi Junior, yupo mwinyi senior
Huyu dogo ana maamuzi ya kiume na ana nia ya kweli yakutuondolea umasikini na kuleta maendeleo tumpe fursa 2025 awe Rais wa JMT,
Akienda na msimamo huwa huku Bara,hatadumu Kama Mwendazake!!!Kama atahamishiwa bara halafu asiyumbishwe na mafisadi na watoto wao, ninaamini atakuwa Rais bora sana.
Awe huru kwenye kuteua na kutengua bila kutazama sura ya mtendaji husika.
Kuna wakati naona huo msimamo wake unachangiwa na wale anaowaongoza, na nchi anayoiongoza, hakuna pressure sana kwake.
Huyu dogo ana maamuzi ya kiume na ana nia ya kweli yakutuondolea umasikini na kuleta maendeleo tumpe fursa 2025 awe Rais wa JMT,
Rais aliye kuwa serios na maisha ya watanzania ni JPM ukiachilia mbali JKN.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
kweli kabisa 100%CCM HAIWEZI KUTU LETEA RAIS BORA WA KUTUFANYIA ECONOMIC REVOLUTION CCM IMEOZA INABIDI IONDOSHWE KWA NJIA YA JASHO NA DAMU.[emoji35]
Huyo Mwinyi kwao si Mkuranga? Mchukueni tuu huku Zanzibar ameshachokwa.Hakuna Mtanganyika anayweza kuwa kiongozi bora nchi hii??