Hussein Mwinyi arudi bara 2025, awe Rais wa JMT, miaka kumi tunaaga umasikini

Jamaa anaweza kutoboa asee
 
Huyu dogo ana maamuzi ya kiume na ana nia ya kweli yakutuondolea umasikini na kuleta maendeleo tumpe fursa 2025 awe Rais wa JMT,
Hatutaki hawa jamaa kutoka hizo pande ni madalali wa kunadi nchi! Ni viongozi tegemezi mno na wanadhani bila misaada ya kufanyiwa na mataifa mengine sisi wenyewe hatuwezi kufanya chochote.
 
Whaaat! Are you kiding me! Nyerere alifilisi nchi? Angefilisi nchi angeweza kusomesha na kutibu wananchi bure? Angeweza kuanzisha mashirika makubwa ya umma na viwanda? Angeacha madini ardhi na raslimali luluki ambazo sasa hivi ndiyo tunazipiga mnada kwa waarabu huko Loliondo? This is more than rubbish! Hatutaki wazenji kwani kazi yao ni kupiga mnada raslimali zetu na kukawa ardhi yetu bure. Muungano ufe!
 
Huyu dogo ana maamuzi ya kiume na ana nia ya kweli yakutuondolea umasikini na kuleta maendeleo tumpe fursa 2025 awe Rais wa JMT,
Kama ameahindwa kuwaondolea umasikini wazanzibar idadi yao wapo mil 1.6 ataweza watanganyika wapo mil.58.4 ?

Mataga na chawa acheni utani.
 
Mashirika ya umma na viwanda gani vilianzishwa na Nyerere? Au unaongelea hivyo alivyopora Wazungu na Wahindi na kuvitaifisha na mwishowe vikafa au vikafilisika? Shule na hospitali walijenga wakoloni, wamishenari, na watu wa dini zingine huyo Nyerere alizikuta.

Halafu kama nchi ilikuwa na ardhi na rasilimali lukuki kwa nini tulikuwa omba omba enzi ya Nyerere? Mpaka yale mahindi wanayolisha nayo wanyama huko Ulaya na Marekani ndiyo tulipewa sisi ili tusife njaa. Watu wanavaa viraka, watu wanapanga foleni kununua sukari na mahitaji mengine muhimu. Weye humjui Nyerere, unaimba ngonjera tuu. Kamuulize babu yako kama yuko hai na aliishi enzi ya Nyerere atakupa ukweli.
 
Huyu dogo ana maamuzi ya kiume na ana nia ya kweli yakutuondolea umasikini na kuleta maendeleo tumpe fursa 2025 awe Rais wa JMT,
Huyu ameshaanza kuwananga watu wa Bara huko visiwani.
Huku hatumtaki, akae huko huko!
 
Huyu dogo ana maamuzi ya kiume na ana nia ya kweli yakutuondolea umasikini na kuleta maendeleo tumpe fursa 2025 awe Rais wa JMT,
Naunga mkono hoja kwa 100% na wa kuupiga mwingi atafutiwe kazi nyingine hata anayoshikilia Mr. February.
 
Huyu dogo ana maamuzi ya kiume na ana nia ya kweli yakutuondolea umasikini na kuleta maendeleo tumpe fursa 2025 awe Rais wa JMT,
Utamuitaje dogo jama anagonga 60
 
Kama ameahindwa kuwaondolea umasikini wazanzibar idadi yao wapo mil 1.6 ataweza watanganyika wapo mil.58.4 ?

Mataga na chawa acheni utani.
Ni upuuzi mtupu, hii nchi imekuwa ni ya familia? Rubbish!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…