Zanzibar 2020 Hussein Mwinyi, ilikuwaje ukawa Mbunge wa Mkuranga, mkoa wa Pwani, na sasa unaenda kugombea urais Zanzibar?

Subiri mvunjwe miguu. Ile ya Mkapa itakuwa cha mtoto.

Kwa taarifa yako maeneo zinakoanzia vurugu wakati wa uchaguzi Zanzibar yanajulikana na kazi ya kuwazima ilashafanywa kitambo sana.
 
Subiri mvunjwe miguu. Ile ya Mkapa itakuwa cha mtoto.

Kwa taarifa yako maeneo zinakoanzia vurugu wakati wa uchaguzi Zanzibar yanajulikana na kazi ya kuwazima ilashafanywa kitambo sana.

Iweje wewe unawaza habari za vurugu? Mimi nimeandika kuhusu vurugu hapo?

Nimesema, hawa wanapaswa kuoneshwa upande wa pili wa shilingi kwa kuwa wanadhani shilingi ina upande mmoja tu huo wanaoutazama kila siku.

Kuoneshwa upande wa pili siyo lazima iwe kwa vurugu. Itakuwa simple & fast, no bloodshed just like that.

Mtashangaa mnainua macho, na kuona manyoya tu, kuku keshaliwa huku wanajeshi wenu wakiwa hawana la kufanya.
 
Wazanzibari wajiongeze. Huyo Hussein ni pandikizi wakimuacha wameumiaa.
 
Mama yake ni Mzenji, baba yake wa Mkuranga, kwa wanavyosema alizaliwa Zenji Ila hata chekechea hajasoma kule
 
October sio mbali
 
Hili haliihitaji hata usaidizi mkuu. Hussein kapandikizwa na ccm visiwani ili wazanzibari wakose sauti.angalia namna masheikh wakizanzibari mwaka wa 6 huu wapo magereza hakuna kesi inayoendelea.huu ni uonevu. Wazanzibari waachiwe visiwa vyaoo.
Mgombea wenu wa urais amesrma atawaachia akichaguliwa. Cha ajabu hao mashekhe walikamatwa akiwa Waziri na mtu wa karibu sana na Raising na hakuna alichofanya wakati ule.
 
Nadhani mwaka huu Uhuru Kenyatta ndiye atakuwa msuluhisho huko visiwani. Na baba yao Museveni.

Ila nawatilia shaka sana hawa wala urojo. Vita fupi kupigwana ulimwenguni wameweka rekodi wao. Urojo Urojo sana hawa watu
 
Mgombea wenu wa urais amesrma atawaachia akichaguliwa. Cha ajabu hao mashekhe walikamatwa akiwa Waziri na mtu wa karibu sana na Raising na hakuna alichofanya wakati ule.
Hatumtaki Hussein mwinyi huku Zanzibar
 
Subiri mvunjwe miguu. Ile ya Mkapa itakuwa cha mtoto.

Kwa taarifa yako maeneo zinakoanzia vurugu wakati wa uchaguzi Zanzibar yanajulikana na kazi ya kuwazima ilashafanywa kitambo sana.

CCM haijawahi kushinda Zanzibar bali ni kuchakachua tu na 2015 mlishindwa vibaya sana na Maalim seif akatangaza matokeo mmeshindwa japo na pia mlichakachua kura.
 
Zanzibar wasipotumia fursa ya Lissu na Seif katika uchaguzi huu CCM wakimtaka wanaweza kumpachika Uzanzibari hata Serukamba na kuwa Rais wa Zanzibar na Waunguja wasifanye kitu.
Bora serukamba tulia ackson
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…