Zanzibar 2020 Hussein Mwinyi, ilikuwaje ukawa Mbunge wa Mkuranga, mkoa wa Pwani, na sasa unaenda kugombea urais Zanzibar?

mwinyi sio mzazibari,wazinzari wote CCM,ACT,na CUF tunamchagua maalimu
 
Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.

Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?

Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Hussein Mwinyi ana mapungufu mengi. Lakini sioni kama hili ni mojawapo.

Kwani "Wazanzibari" wamekatazwa kugombea ubunge bara?
 
Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.

Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?

Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Watanganyika ndio watu gani hao?
 
Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni.

Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani?

Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe
Kwani unateseka?
 
Kuna kifungu chochote ndani ya Katiba kinachoelezea jambo hilo?
 
Back
Top Bottom