K kinsakina JF-Expert Member Joined Jun 17, 2016 Posts 1,107 Reaction score 1,080 Aug 28, 2020 #121 mwinyi sio mzazibari,wazinzari wote CCM,ACT,na CUF tunamchagua maalimu
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Aug 28, 2020 #122 chinembe said: Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni. Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani? Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe Click to expand... Hussein Mwinyi ana mapungufu mengi. Lakini sioni kama hili ni mojawapo. Kwani "Wazanzibari" wamekatazwa kugombea ubunge bara?
chinembe said: Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni. Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani? Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe Click to expand... Hussein Mwinyi ana mapungufu mengi. Lakini sioni kama hili ni mojawapo. Kwani "Wazanzibari" wamekatazwa kugombea ubunge bara?
EZZ CHEZZ JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,230 Reaction score 1,352 Aug 28, 2020 #123 chinembe said: Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni. Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani? Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe Click to expand... Watanganyika ndio watu gani hao?
chinembe said: Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni. Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani? Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe Click to expand... Watanganyika ndio watu gani hao?
kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 13,778 Reaction score 14,214 Aug 28, 2020 #124 chinembe said: Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni. Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani? Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe Click to expand... Kwani unateseka?
chinembe said: Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni. Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani? Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe Click to expand... Kwani unateseka?
M mkaruka ataja rinu JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 3,527 Reaction score 2,469 Aug 28, 2020 #125 chinembe said: Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni. Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani? Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe Click to expand... Kuna kifungu chochote ndani ya Katiba kinachoelezea jambo hilo?
chinembe said: Hili suala linachanganya, na ninahofia wahafidhina wa Kizanzibari watalitumia kutusumbua kwenye kampeni. Je, Hussein Mwinyi ni Mtanganyika au ni Mzanzibari? Ilikuwaje akagombea Mkuranga, mkoa wa Pwani? Hii siielewi, anayeelewa anifahamishe Click to expand... Kuna kifungu chochote ndani ya Katiba kinachoelezea jambo hilo?
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Apr 9, 2022 #126 Alizaliwa Pwani