Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Wakati wa misa ya mazishi ya Rais mstaafu wa awamu ya tatu Hayati Benjamin Mkapa mtangazaji alikuwa akimtaja mgombea urais kwa tiketi ya CCM Zanzibar, Hussein Mwinyi kuwa Rais Mteule wa Zanzibar. Hivi ukishateuliwa na CCM tayari unakuwa Rais?
Kura za wananchi hazina maana? CCM kumbe hii nchi ni yao? Bado wanampa na ulinzi kabisa kabla hajawa Rais.
Oktoba twende kupiga kura za nini sijui?
Kura za wananchi hazina maana? CCM kumbe hii nchi ni yao? Bado wanampa na ulinzi kabisa kabla hajawa Rais.
Oktoba twende kupiga kura za nini sijui?