Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Kwahiyo kura zetu hazina maana?
Wewe ndio wapiga kura? Unawakilisha uwingi au umoja?Utafiti umeufanyia wapi ? Lini wazanzibar wakakwambia wamemchoka ?Ulitumia methodology ipi kujusanya data?Utabisha tu lakini Mwinyi ndiye Rais wa Zanzibar. Hicho kibabu cha kujirudia kila uchaguzi, wapiga kura wamekichoka.
Jibu hoja dili na mada matusi Kila mtu anajua tunatofautiana malezi na busara tu.Umesikia tabulalasa?Huelewi mada ?Kuitwa Rais mteule ,urais kauoata wapi wakati Bado wananchi hawajampigia kura?18 (1) katiba inasema viongozi wote was Tanzania wataoata mamlaka yote kutoka kwa wananchi kupitua uchaguzi wewe unaleta pumba muwe mnasoma shule?Tuliza tako dawa ikuingie vizuri, Mwinyi ndie Rais Znz, bwana Sawa Sawa anamsindikiza tu.
Ninayo haki ya kikatiba ya kutoa maoni yangu. Hata wewe unavyomkosoa mtangazaji bado umetumia haki yako ya kutoa maoni.Wewe ndio wapiga kura? Unawakilisha uwingi au umoja?Utafiti umeufanyia wapi ? Lini wazanzibar wakakwambia wamemchoka ?Ulitumia methodology ipi kujusanya data?
Tuliza tako dawa ikuingie vizuri, Mwinyi ndie Rais wa Znz, bwana Sawa Sawa anamsindikiza tu.
Andika vizuri mkiu ndio nini?Rais Mteule wa ccm au Zanzibar? Kama kateuliwa na wajumbe wa mkutano mkiu wa ccm kumbe Ni Rais Mteule wa ccm sio Zanzibar ,maana wazanzibar hawajamchagua na hawajapiga kura bado.Ndio Ni Raisi mteuliwa kateuliwa na wajumbe wa CCM mkutano mkiu wa CCM
Unafikiri donors hawajui hi michezo ?Wakichoka ndio utajuwajua vizuri.Kikubwa ninachosema viongozi wa nchi hii waheshimu katiba.Uchaguzi utakaofanyika ni kwaajili ya kuwaaminisha donor kantriz kua uchaguzi umefanyika.
Hata Kama mnaiba kura basi muwe mnajificha yaani hadharani bill aibu.Hata kura hazijapigwa mmeanza Rais Mteule ,je kura zikipigwa.Utabisha tu lakini Mwinyi ndiye Rais wa Zanzibar. Hicho kibabu cha kujirudia kila uchaguzi, wapiga kura wamekichoka.
Yule binti wa TBC anaitwa Mpendwa ni wale akina zero! Hajitambui.Wakati wa misa ya mazishi ya Rais mstaafu wa awamu ya tatu hayati Benjamin Mkapa mtangazaji alikuwa akimtaja mgombea urais kwa tiketi ya ccm Zanzibar Hussein Mwinyi kuwa Rais Mteule wa Zanzibar. Hivi ukishateuliwa na ccm tayari unakuwa Rais? Kura za wananchi hazina maana? Ccm kumbe hii nchi ni yao? Bado wanampa na ulinzi kabisa kabla hajawa Rais , Oktoba twende kupiga kura za nini sijui?
Hivi ametumwa au amejituma?Yule binti wa TBC anaitwa Mpendwa ni wale akina zero! Hajitambui.