Hustle Smart: Vijana Tuamke – Mtaji Mdogo, Ndoto Kubwa

Wasipokuelewa hawatakuelewa Tena
Tupo Dunia ya mapambano ukianza kulalamika tu basi ushaaga mashindano
 
Nikushauri anza na watu wa ofisini kwako. Tafuta muda wa kuongea nao nje ya mazingira ya ofisi kama hiyo itakua ngumu basi palepale mtaani kama ni bodaboda au muuza duka mpigisge story na sio kwamba utaanza utazoea ndani ya muda mfupi vuta subira lakini ukiwa na muendelezo utashangaa unaxoea na baadae utakua na confidence kueaface watu zaidi.

Jaribu mkuu pesa iko mtaani na mtaa ni watu. Ongea nao
 
Wasipokuelewa hawatakuelewa Tena
Tupo Dunia ya mapambano ukianza kulalamika tu basi ushaaga mashindano
I remember kuna kipindi ulikuwa unatafta partner kwenye biashara fulani, how did it go, vipi ulifanikiwa kumpata?
 
Hii comment pekeyake ilifaa kua Uzi.
 
Kaka kwema meseji zangu hunijibu pm
 
Mkuu Controla meseji hujibu Pm
 
Hapa umenena.Kiukweli biashara ni kujua kukabiliana na changamoto anazokutana nazo mtu.Natamani hili ndo liwe somo wengine tupate cha kujifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…