Hustlers versus Dynasties

young solicitor

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
1,123
Reaction score
713
Huyu bwana DP na wafuasi wake wa team tangatanga wana nifurahisha sana. Mukromen akiwa kiongozi wao wako machachari sana wanafanya usajili kila uchwao wana watingisha kweli Jubilee pamoja na mzee ya kitendawili (mganga) maarufu kama Rtd prime minister mzee Odinga.

Handshake imezaa uadui na kukimegua chama tawala cha Jubilee.

Wakenya wanafurahisha kweli wana raisi na makamu ambao hawapatani.

Twende 2022 na Nani!!??
 
Mkuu nasikia kuna wabunge walitwangana makonde msiban huko vp ilikuaje tudadavulie kidogo

Siasa za Kenya shida kwa kweli watu hawaon aibu kupiga siasa msibani
 
Mkuu nasikia kuna wabunge walitwangana makonde msiban huko vp ilikuaje tudadavulie kidogo

Siasa za Kenya shida kwa kweli watu hawaon aibu kupiga siasa msibani
The way they conduct their funerals its like a political rally si ajabu wakipigana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…