young solicitor
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 1,123
- 713
Huyu bwana DP na wafuasi wake wa team tangatanga wana nifurahisha sana. Mukromen akiwa kiongozi wao wako machachari sana wanafanya usajili kila uchwao wana watingisha kweli Jubilee pamoja na mzee ya kitendawili (mganga) maarufu kama Rtd prime minister mzee Odinga.
Handshake imezaa uadui na kukimegua chama tawala cha Jubilee.
Wakenya wanafurahisha kweli wana raisi na makamu ambao hawapatani.
Twende 2022 na Nani!!??
Handshake imezaa uadui na kukimegua chama tawala cha Jubilee.
Wakenya wanafurahisha kweli wana raisi na makamu ambao hawapatani.
Twende 2022 na Nani!!??