Hutachukiwa na walimwengu bila sababu

Hutachukiwa na walimwengu bila sababu

Charge

Member
Joined
Jun 17, 2019
Posts
91
Reaction score
160
Umepita mda kidogo toka kisa hiki kinitokee,kama miezi mitatu imepita.

Mtaa ni ninao fanya ni karibu sana na kitu cha daladala,pia zile kama unafanya unakua maarufu sababbu ya fani yani.

Sas siku moja natoka kazin naelekea kituoni kupanda,kufika kituoni nikakuta gari bado inangojea abilia.
Nikavaa earphone zangu na kuendelea kuchat,baada ya mda nikakumbuka maeneo ya home hapan vocha ninazo zihitaji so ikabidi nichomoke chapu nikachukue vocha.

Nikaenda nakimbia dukani na kurudi haraka,ile na narudi wale nasikia kelele ohoo si jamaa fara sana yule... anajiona sana bora gari lingemuacha.

brah brah nyingii, mm nilikua nacheka tu.Sababu nafahamu mda mwingine mtu ukiwa huna pesa bhana na mastress yako utatafuta sehemu ya kuyapunguzia.
 
Sawa mvulana tumeelewa ulivyo na mahela
 
Back
Top Bottom