Hutajachelewa. Tuwaige jirani zetu Rwanda kuhusu utapeli kwenye dini

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
7,237
Reaction score
4,347
Uwepo wa dini za kitapeli haswa vikundi vya wakristo vimepigwa marafuku haswa vile vinavyodanganya wazi wazi kama uwezo wa kufufua mfu baada ya kufariki.

Ni muda muafaka kwa serikali kusimama kama serikali bila kuangalia sura ya mtu .
 
Ni mudq muafaka kwa serikali kusimama kama serikali bila kuangalia sura ya mtu .
Wamefanikiwa kwenye hili. Hao wauni wameona Kenya na Tanzania ndio kichaka chao.
 
naunga mkono hoja, tuanze na kuufuta uislamu tanzagiza, ndiyo cha matatizo (karibia) yote …
 
Uwepo wa dini za kitapeli haswa vikundi vya wakristo vimepigwa marafuku haswa vile vinavyodanganya wazi wazi kama uwezo wa kufufua mfu baada ya kufariki.

Ni muda muafaka kwa serikali kusimama kama serikali bila kuangalia sura ya mtu .
Umesema kweli
 
Naunga mkono hoja. Tatizo viongozi wa dini wanakula meza moja na watawala. Hakuna wakumfunga paka kengele.
 
Uwepo wa dini za kitapeli haswa vikundi vya wakristo vimepigwa marafuku haswa vile vinavyodanganya wazi wazi kama uwezo wa kufufua mfu baada ya kufariki.

Ni muda muafaka kwa serikali kusimama kama serikali bila kuangalia sura ya mtu .
Issue ya utapeli inaweza kusubiri. Tumalizane kwanza na Samia The Killer!
 
Back
Top Bottom