Black Bolt
JF-Expert Member
- Jun 5, 2021
- 257
- 417
Habari wadau kama Kuna mtu anaweza kuwa na tutorials za kujifunza UX/UI kwa FIGMA naomba anieekeze alipo nizipate kwenye Flash yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atatuma flash au wewe utamtumia flashi, mambo kidigatali.Mkuu angalau ungeweka mkoa uliopo, au upo tayari kuzifuata mkoa wowote ule
Mtafute huyu dada anaitwa Elsa ni ambassador wa adobe Xd na pia ni mkali wa figma.Habari wadau kama Kuna mtu anaweza kuwa na tutorials za kujifunza UX/UI kwa FIGMA naomba anieekeze alipo nizipate kwenye Flash yangu
Nipo darMkuu angalau ungeweka mkoa uliopo, au upo tayari kuzifuata mkoa wowote ule
Asante tatizo kuzioakua ni video kubwa sanaIngia youtube bro tafuta channel inaitwa @bringyourownlaptop
Asante ngoja nimchekiMtafute huyu dada anaitwa Elsa ni ambassador wa adobe Xd na pia ni mkali wa figma.
Anapiga kazi na watu wa nje huko na kurun maforum.
Anatengeneza ela nyingi katika UX mkuu. And ni mtoto wa kishua tu kasoma IST na chuo Canada.
Mtafute anaweza kukupa turtorial nzuri hata alizotengeneza mwenyewe maana yeye na waphillipono na wazungu wengine uwa wanaendesha mafunzo online ya Figma an adobe Xd
Link yake Linkedin https://www.linkedin.com/in/elsa-amri na website yake: www.elsaamri.com
Duuh kwa mtindo huu utatoboa kweli?Habari wadau kama Kuna mtu anaweza kuwa na tutorials za kujifunza UX/UI kwa FIGMA naomba anieekeze alipo nizipate kwenye Flash yangu
AiseeAsante tatizo kuzioakua ni video kubwa sana
Bro/sister/ndugu achana na hayo mambo hauna dhamira yoyote unapoteza muda tu.Habari wadau kama Kuna mtu anaweza kuwa na tutorials za kujifunza UX/UI kwa FIGMA naomba anieekeze alipo nizipate kwenye Flash yangu
Hata elsa ataishia kumpa ushauri tu, huyu hana dhamira yoyote.Mtafute huyu dada anaitwa Elsa ni ambassador wa adobe Xd na pia ni mkali wa figma.
Anapiga kazi na watu wa nje huko na kurun maforum.
Anatengeneza ela nyingi katika UX mkuu. And ni mtoto wa kishua tu kasoma IST na chuo Canada.
Mtafute anaweza kukupa turtorial nzuri hata alizotengeneza mwenyewe maana yeye na waphillipono na wazungu wengine uwa wanaendesha mafunzo online ya Figma an adobe Xd
Link yake Linkedin https://www.linkedin.com/in/elsa-amri na website yake: www.elsaamri.com
Kwanza sijui hata kama huyo Elsa atamjibu akimtafuta 🐒Hata elsa ataishia kumpa ushauri tu, huyu hana dhamira yoyote.
Si tunawaona kila siku huku mtaani.
Mtu anakuja anaomba tutorial flani lakini ukimuuliza baada ya mwezi au wiki tatu anasema bado hajapitia wakati anapata muda wa kucheki movie za kihindi.
Kwenye maelezo ya tutorial zozote huchukua masaa 3 au mawili kuisha kwa sababu urefu wa tutorial moja uchukua 5min ikizidi, basi ongeza vi sekunde.
Chukua masaa 3hrs=180min ukitumia 30min kwa siku maanake utamaliza tutorial baada ya siku 6.
Sasa mtu anaenda mwezi mzima katunza tutorial kwenye drive hivi kweli atIuwa serious mtu wa aina hiyo, kwa hiyo inakuwa umepoteza muda kumpa tutorials
🤣🤣 Kweli mkuu umeongea ukweli kabisa anajaza tuHata elsa ataishia kumpa ushauri tu, huyu hana dhamira yoyote.
Si tunawaona kila siku huku mtaani.
Mtu anakuja anaomba tutorial flani lakini ukimuuliza baada ya mwezi au wiki tatu anasema bado hajapitia wakati anapata muda wa kucheki movie za kihindi.
Kwenye maelezo ya tutorial zozote huchukua masaa 3 au mawili kuisha kwa sababu urefu wa tutorial moja uchukua 5min ikizidi, basi ongeza vi sekunde.
Chukua masaa 3hrs=180min ukitumia 30min kwa siku maanake utamaliza tutorial baada ya siku 6.
Sasa mtu anaenda mwezi mzima katunza tutorial kwenye drive hivi kweli atIuwa serious mtu wa aina hiyo, kwa hiyo inakuwa umepoteza muda kumpa tutorials
Kwanini mkuu, mbona anarespond vizuriKwanza sijui hata kama huyo Elsa atamjibu akimtafuta 🐒
Mkuu kuna approach zinakatisha tamaa, ni kama alivyosema mathsjery jamaa amekosa dhamira ya kujifunza, pata picha akimuuliza yupo wapi aje na flash kwa ajili ya ku-copy hizo tutorials maana kwenye YouTube ni kubwa mno, unafikiri ni rahisi kupewa ushirikiano na mtu ambaye yupo serious ?Kwanini mkuu, mbona anarespond vizuri
Kwanini mkuu, mbona anarespond vizKwanza sijui hata kama huyo Elsa atamjibu akimtafuta 🐒
Hapo kweli hawezi maana mtu anaweza hata kuhisi shida yako siyo tutorials bali jambo tofauti.Mkuu kuna approach zinakatisha tamaa, ni kama alivyosema mathsjery jamaa amekosa dhamira ya kujifunza, pata picha akimuuliza yupo wapi aje na flash kwa ajili ya ku-copy hizo tutorials maana kwenye YouTube ni kubwa mno, unafikiri ni rahisi kupewa ushirikiano na mtu ambaye yupo serious ?
Najua hiko nimepakua video kadhaa zina Size kubwa mapaka MB 900 moja tu kupakua unakata MB za Sh 2000.Duuh kwa mtindo huu utatoboa kweli?
Ingia youtube search "figma tutorials" then angalia videos zitazo kuja.
Unapoteza muda bila sababu.
maarifa ni gharama mzeyaNajua hiko nimepakua video kadhaa zina Size kubwa mapaka MB 900 moja tu kupakua unakata MB za Sh 2000.