Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Unaogopa kutumia buku2 kwa ujuzi utakao kupatia mamili ya fedha? Uko serious kweli wewe?Najua hiko nimepakua video kadhaa zina Size kubwa mapaka MB 900 moja tu kupakua unakata MB za Sh 2000.