Hutakiwi kufanya editing kwenye akaunti yako TCU

Post bado hazijatoka acha kumsikiliza huyu jamaa

Nashukuru kunitoa wasiwasi. Maana mie nikicheck page yangu ya tcu naona bado status inanionesha "not yet processed" na kozi zote naziona na column ya met min requirement bado naona "checking in progress....."

jamani nyie mwaonaje profile zenu.

Najua mistake moja itatugharim kusubir mwaka mzima.
 


Kama ya kwako tu. Check in progress. ...
 
Watu wanazungumzia tcu halafu wewe unaweka link ya nacte wakuelewe vp

kwani tcu ni wajinga walivotoa link za nacte.go.tz wanaotaka kujiunga waaply pia?zote ni link hizo mwanangu ndo maana matokeo hayaendi tcu ila yanaenda nacte maana ndo mamlaka husika ila tcu ni tume inayosimamia uendeshaji bora wa vyuo vikuu.. unajua mpende kusoma na si kukurupuka tu.. wenye utimamu wameelewa nadhani.yani f6 leavers naona mnatafuta kua senior expert members kwa siku2
 

Hiyo sasa kali
 
jaman tupeane taarifa za ukwel.
tunarushana roho. naiamin sana JF sasa tudanganyana haifai ndugu.
 
Ndugu niliomba KIU kozi ya Bpharm,wakati naomba walisema wanachukua hadi wanafunzi 565,leo nimeangalia profile yangu wameandika not approved na available slots 95,sijaelewa hizo slots 95 ndio idadi ya wanafunzi watakaochaguliwa au?
 
Hahaha Kileghe mm nliziona hizo post zinapungua day one mpaka sasa zilianza 50 sasa 45 ndo mchakato unaendelea tayar naona hao watano washachaguliwa
 
Last edited by a moderator:
Hahaha Kileghe mm nliziona hizo post zinapungua day one mpaka sasa zilianza 50 sasa 45 ndo mchakato unaendelea tayar naona hao watano washachaguliwa
Rafiki kuna mdau kanifundisha kitu,nenda kwenye profile yako halafu unaweka kasa kwenye kodi watakupa tarifa zote

Kwangu wameandika wanahitajika wanafunzi 95,waliomba mpaka sasani 206,wenye sifa ni 169,wenye sifa na kuomba chaguo la kwanza ni 36.

Hapa uhakika wa chuo upo,hapa ada tu mana mkopo hawakupi wote.
 
Nlishafanya ivo kaleghe nikakuta wanaotakiwa ni 20 na waloomba ni 1992 yaan nasubir bahat 2 hapa
 
Last edited by a moderator:
Huku kwangu napata notification ya you have not yet done any application
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…