Dogo kapangwa Mzumbe, hongera yake.
wap umeangalia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo kapangwa Mzumbe, hongera yake.
Dogo kapangwa Mzumbe, hongera yake.
Post bado hazijatoka acha kumsikiliza huyu jamaaUmeyaona wapi nimchekie mwanangu
Post bado hazijatoka acha kumsikiliza huyu jamaa
Nashukuru kunitoa wasiwasi. Maana mie nikicheck page yangu ya tcu naona bado status inanionesha "not yet processed" na kozi zote naziona na column ya met min requirement bado naona "checking in progress....."
jamani nyie mwaonaje profile zenu.
Najua mistake moja itatugharim kusubir mwaka mzima.
kijana usikurupuke.. muda umeongezwa mpaka tar6/9/2014 bado kuna siku 2 kufanya marekebisho.usitume mambo kama hujafanya utafiti,lakini ukianza chuo utajua mambo yanafanywaje.visit The National Council for Technical Education
Watu wanazungumzia tcu halafu wewe unaweka link ya nacte wakuelewe vp
kwani tcu ni wajinga walivotoa link za nacte.go.tz wanaotaka kujiunga waaply pia?zote ni link hizo mwanangu ndo maana matokeo hayaendi tcu ila yanaenda nacte maana ndo mamlaka husika ila tcu ni tume inayosimamia uendeshaji bora wa vyuo vikuu.. unajua mpende kusoma na si kukurupuka tu.. wenye utimamu wameelewa nadhani.yani f6 leavers naona mnatafuta kua senior expert members kwa siku2
Rafiki kuna mdau kanifundisha kitu,nenda kwenye profile yako halafu unaweka kasa kwenye kodi watakupa tarifa zoteHahaha Kileghe mm nliziona hizo post zinapungua day one mpaka sasa zilianza 50 sasa 45 ndo mchakato unaendelea tayar naona hao watano washachaguliwa