Hutakiwi kufanya editing kwenye akaunti yako TCU

Hutakiwi kufanya editing kwenye akaunti yako TCU

daah..kuna wahuni kitaa wameshatutisha et zimetoka yan ni sheeedah
 
Kama wapo walio fanya editing after deadline matatani kukosa vyuo katika machaguo waliyo edit. Source: i was speaking oraly to Adimission officer Tcu Mikocheni Garden Road Dsm.

Na hao wanaosema 6/9/2014 ndo mwisho inakuaje?
 
ila taarifa zote zinazotolewa bado hazna uhakika so lets just wait..ni lazma watoe coz ni zakwetu hata kama ni mwakani😉😉😉
 
Iyo ku edit sio kweli mana hakuna taarifa rasmi kwa jamii na kama wakifanya ivyo itakua ajabu kwa elimu yetu mana uwezi kumwacha mtu ka edit wakati hukumpa taarifa kama ku edit ni makasa
 
Kama wapo walio fanya editing after deadline matatani kukosa vyuo katika machaguo waliyo edit. Source: i was speaking oraly to Adimission officer Tcu Mikocheni Garden Road Dsm.

wote majuha umeongea na security officer nini wabongo bwana!
 
Huyu General directory ndo nani? Kwa sababu hatukujui tutajua aje kama taarifa zako ni za ukweli?
 
Kama wapo walio fanya editing after deadline matatani kukosa vyuo katika machaguo waliyo edit. Source: i was speaking oraly to Adimission officer Tcu Mikocheni Garden Road Dsm.

Nakubaliana na wewe kabisaaa mwaka Jana iyo kitu ilinicost mm
 
mimi ni C.E.O wa jf

Unajua unapokuwa C.E.O unaleta mada bila reliable source huo ni uhuni pia naomba usipanikishe watu mana huna evidence na wala TCU hawajatoa tamko hilo hapa kuna watu na akili zao timamu na wengine wanafatilia kwa watoto wao so be careful the news you bring here na kama usinge kuwa C.E.O ningekutukana
 
kwa post ya huyo anaejiita c.e.o anaonekana ni mtoto.
 
Alafu kuleta maneno
ya uzushi si vizuri kabisa coz unatakiwa uandike kitu chenye
watu wengi tunafatilia taharifa muhimu kupitia jf hasa kupitia jukwaa hili katika maswala ya elimu, kwahiyo unapoandika kitu andika kitu chenye uhakika na sikuropoka jaman!
 
Ndo maana nkamuukiza yeye ni nani? Sema kama yeye ni C.E.O anafaa ajue tunahitaji proves na yeye anajua vizuri as an interlectual u have to convince with facts based on proves...hii ni kwamba watu wengi wanatumia jf kwa sababu wanaamini habari zake lakini habari kama hazina mashiko na ukweli wowote ni kero kwa wanaojielewa....
 
mbona mimi sjaona kitu kipya kwenye plofile yang.
vp wengine. mshapata majbu
 
Back
Top Bottom