sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,375
nilipata wazo niuze deni kwa polisi flan ila alitaka elf 50 kwenye hio laki 3, nikaona parefu hapo ikabkdi tu nifanikishe kibabeπππ ulijua kumkomesha..π€£π€£
laki 3 mkuu, naona keyboard ili mis typeUlimpa laki 3 au laki 2 ?
mkuu we nenda kwake somba vitu kama huna ujasiri huo uza deni kwa mtu mtata hapo mtaani umwambie unaemdai kwamba hio pesa ilikuwa yako na ya huyo mtata ila wewe umechoka kidai sasa ni zamu ya mtataYaaani huu uzi umekuja juu kwenge notification panel nikiwa namuandikia msg mdeni wangu....
Nimeamini kumkopesha rafiki ni kununua uadui,
Mimi huyu hata anilipe sitaki tena urafiki nae,
Kanivuruga sanaaaaa, nikikumbuka alivyoomba na alivyo sasa hata siamini....
yani usipojiamini hii dunia utadhulumiwa sana, big up sana mzee, nmeipenda hii kweli ilikuwa ya kibabeKipindi hicho nimetoka veta nikapata ya kuendesha watoto wa shule kwa mshahara laki moja per month, boss akawa hanilipi ananipa hela ya nauli tu baada ya miezi sita dada aliyenilipia veta akaumwa na anatakiwa kufanyiwa oparation bugando, mi ndo wakuhudumia, kumwambia boss ananitisha kuwa hana hata mia niende polisi, mara akachukua dereva mwingine, kilichofata nilienda kwake saa moja muda anatoka job akanikuta sebuleni nimekaa na familia yake, Dah shida uleta maarifa nilipiga mayowe ndani kama mweu kelele nyingi majirani wakajaa, kuona vile akaona aibu mabosi wenzie wako nje nikawasimulia kila kitu wakamuona hafai, jamaa alienda bank muda huo akaja na laki sita yangu kesho yake nikamlipia sister hela hospitali .
mkuu marafiki huwa wanagombana mbona ππ, jamaa naona alisahau kwamba namdai kama vile wengi tulivyo wagumu kulipa madeni tunapopata pesa, nakumbuka urafiki uliisha kwa siku kama mbili ivi ila akaja kuniomba msamaha na kukiri kosa lake, basi ndo yakaisha.ππMmebaki marafiki,
Wengi hubaki maadui. Sasa anakwambia kipi kilimfanya asitake kukurudishia?
Me kwa kweli kudai huwa siwezi na huto ona nakukumbushia deni. Ila ukijisahaulisha kunilipa huwa sisahau na hutokuja tena kuona nakukopesha pesa yangu. Labda niamue tu kukupa.mkuu marafiki huwa wanagombana mbona ππ, jamaa naona alisahau kwamba namdai kama vile wengi tulivyo wagumu kulipa madeni tunapopata pesa, nakumbuka urafiki uliisha kwa siku kama mbili ivi ila akaja kuniomba msamaha yaishe
Kipindi hicho nimetoka veta nikapata ya kuendesha watoto wa shule kwa mshahara laki moja per month, boss akawa hanilipi ananipa hela ya nauli tu baada ya miezi sita dada aliyenilipia veta akaumwa na anatakiwa kufanyiwa oparation bugando, mi ndo wakuhudumia, kumwambia boss ananitisha kuwa hana hata mia niende polisi, mara akachukua dereva mwingine, kilichofata nilienda kwake saa moja muda anatoka job akanikuta sebuleni nimekaa na familia yake, Dah shida uleta maarifa nilipiga mayowe ndani kama mweu kelele nyingi majirani wakajaa, kuona vile akaona aibu mabosi wenzie wako nje nikawasimulia kila kitu wakamuona hafai, jamaa alienda bank muda huo akaja na laki sita yangu kesho yake nikamlipia sister hela hospitali .
ππππππππKipindi hicho nimetoka veta nikapata ya kuendesha watoto wa shule kwa mshahara laki moja per month, boss akawa hanilipi ananipa hela ya nauli tu baada ya miezi sita dada aliyenilipia veta akaumwa na anatakiwa kufanyiwa oparation bugando, mi ndo wakuhudumia, kumwambia boss ananitisha kuwa hana hata mia niende polisi, mara akachukua dereva mwingine, kilichofata nilienda kwake saa moja muda anatoka job akanikuta sebuleni nimekaa na familia yake, Dah shida uleta maarifa nilipiga mayowe ndani kama mweu kelele nyingi majirani wakajaa, kuona vile akaona aibu mabosi wenzie wako nje nikawasimulia kila kitu wakamuona hafai, jamaa alienda bank muda huo akaja na laki sita yangu kesho yake nikamlipia sister hela hospitali .
nenda kaongee naye upya ukiwa umeiweka simu mfuko wa shati iwe inarekodi, we mtege tu na maswali ionekane kweli unamdai milioni 3. pia itakua poa zaidi simu ikirekodi video.Huu uzi umekuja kipindi hiki nina mawazo tani 100.Kweli nimeamini kukopeshana ni kununua uadui tu...Kuna tajiri mmoja hataki kunilipa ela yangu tangu February mpk leo na nina uhakika ela anayo mana napata taarifa jinsi hasivyokwama kutoka kwa wadau wa ofisi yake.
Hiyo pesa nimefanya mbinu zote ila naona jamaa kaamua kunizima kiaina.Roho inauma mtu kukomalia 3M usawa huu.
Mpaka sasa sina cha kumfanya mana hatukuandikishana popote ila baadhi ya wafanyakaz wake wanajua namdai mana kazi zilizozaa deni nilifanya mimi peke yangu
Huyu mwamba nina miaka kibao nae tunafanya kazi pamoja na uwezo wake naujua hivyo haikuwa ngumu kumuamini kiwango hicho...Kukosekana kwa hiyo pesa kumeleta balaa kubwa ukizingatia sina kibarua chochote sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app